MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wambele Gazeti la Championi Jumatatu
BEKI HUYU KUVUTWA NDANI YA YANGA MSIMU UJAO MAZIMA
BEKI Kisiki wa Yanga, Kelvin Yondani ambaye aliwahi kuwa nahodha wa kikosi hicho inaelezwa kuwa miongoni mwa mabeki anaowakubali ndani ya Bongo ni pamoja...
BAADA YA KUVUTA JIKO LA PILI NIYONZIMA ATOA NENO HILI
IKIWA zimepita Siku kadhaa baada ya kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima kuvuta jiko la pili ameibuka na kuwataka wachezaji kuendelea kulinda mipango vyao katika...
AJIBU KUTOKUWEPO NDANI YA SIMBA MSIMU UJAO
INAELEZWA kuwa msimu huu wa 2019/20 utakuwa wa mwisho kwa kiungo mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu kukipiga ndani ya Simba.Ajibu alitua Simba akitokea Yangakwa...
PELLEGRINI AZIINGIZA VITANI INTER MILAN NA JUVENTUS
LORENZO Pellegrini nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Roma inayoshiriki Serie A ameziingiza vitani Inter Milan na Juventus ambazo zinaiwinda saini yake.Kiungo huyo anayevaa...
TSHABALALA YEYE MABAO YAKE NI MBELE YA WAKATA MIWA TU, SIRI YAKE HII HAPA
MOHAMED Hussein, 'Tshabalala' nahodha msaidizi wa Simba ni miongoni mwa mabeki wenye urafiki na nyavu na mabao yake yote amezitungua timu za makampuni ya...
YANGA YAWAOMBA MASHABIKI KULIPOKEA JARIDA LAO, KUNA BONGE LA OFA
UONGOZI wa Yanga umewaomba mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kulipokea Jarida la Yanga kwa kununua zaidi nakala.Yanga hivi karibuni ilizindua jarida hilo ambalo...
KIBAILO KUTAJA ATAKAPOKUWA MSIMU UKIKAMILIKA
HASSAN Kibailo, beki wa kulia wa Klabuya Coastal Union amesema kuwa atataja atakapokuwa msimu ujao pale msimu utakapokamilika."Bado ligi haijaisha hivyo siwezi kuzungumza kuwa...
NYOTA NAMUNGO FC WAMEWEKWA KATI KWA SIMBA NA YANGA KWA MTINDO HUU
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amekuwa na msimu mzuri ndani ya Namungo FC kwa kukiongoza kikosi chake kwenye mechi 28 na kukifanya kiwe...