MATTY LONGSTAFF AWEKWA KWENYE ANGA ZA UDINESE

0
MATTY Longstaff, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Newcastle United mwenye umri wa miaka 20 amewekwa kwenye tageti na Klabu ya Udinese Calcio ya...

YANGA INA JAMBO LAO KWA MWAMNYETO, SIMBA NAO HAWAPOI, NDANI YA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi 

SIMBA YAENDELEA NA MATIZI KUIWINDA RUVU SHOOTING

0
SIMBA leo imeendelea na mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho kwenye uwanja wao uliopo...

DIDA ANA KAZI NZITO YA KUFANYA NDANI YA LIPULI

0
DEOGRATIUS Munish,'Dida' maisha yake ndani ya Lipuli yalianza kwa kusuasua ana kazi nzito ya kurekebisha makosa yake wakati Ligi Kuu Bara itakaporejea kuanzia Juni...

BALAA LA MWILI JUMBA NDANI YA UWANJA LIPO HIVI

0
MSHAMBULIAJI wa Yikpe Gnamien, ametumia dakika 258  uwanjani akicheza mechi za Ligi Kuu Bara baada ya kujiunga na klabu hiyo kwenye usajili wa dirisha...

WATU 300 KUINGIA UWANJANI LIGI KUU ENGLAND ITAKAPOANZA

0
WATU 300 tu ndio wataruhusiwa kuwa uwanjani wakati za Ligi Kuu England zitarejea. Hii itajumlisha idadi ya wachezaji, benchi la ufundi, wauguzi na madaktari...

YANGA HAWANA UTANI KABISA,HUKO SIMBA KUNAANZA KUNOGA, KESHO NDANI YA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
KESHO ndani ya SPOTIXTRA Alhamisi usikose nakala yako jero tu nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako 

TAMBWE ATAJA MCHEZAJI WAKE BORA ANAYEKIPIGA NDANI YA YANGA

0
AMIS Tambwe, mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Yanga amesema kuwa miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa bora alipokuwa akicheza nao ni pamoja na Deus...

AZAM FC YAENDELEA KUIVUTIA KASI MBAO FC

0
AZAM FC imeendelea na mazoezi yake leo ikiwa ni kujiaanda na mchezo wao wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex, Juni 14.Kikosi...

MTIBWA SUGAR INA MKAKATI WA KUJENGA BONGE MOJA YA UWANJA, HAYA HAPA MAFANIKIO YAO

0
MTIBWA Sugar ni Klabu ya Soka Tanzania inayopatikana mkoani Morogoro ilianzishwa mwaka 1988 na kundi la wafanyakazi waliokuwa wanafanya kazi kwenye kiwanda hicho waliokuwa...