TUWE MAKINI, TAKUKURU HAWAKUITAJA TFF BILIONI MOJA ZA RAIS MAGUFULI…

0
NA SALEH ALLYNIMESHANGAZWA sana kuhusiana na wadau wengi wa mchezo wa soka kuonekana kufurahia baada kuwepo kwa taarifa ya ufujaji wa fedha na Shirikisho...

MCHAGA WA KILUVYA ALIYESHINDA JACKPOT YA SportPesa.. AKABIDHIWA UBILIONEA WAKE LEO….AFUNGUKA ALICHOFANYA…

0
Mshindi wa Jackpot ya SportPesa Florian VAlerian Massawe akikabidhiwa rasmi mfano wa hundi ya Tsh. 1,255,316,060 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi SportPesa Tarimba...

NYOTA HAWA TISA NDANI YA SIMBA MSIMU UKIMEGUKA TU WANAWEZA KUSEPA BURE KABISA

0
SIMBA ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara na pointi zake 71 kibindoni kuna mastaa ambao maisha yao yanafika ukingoni mwishoni...

CHELSEA KUPITISHA PANGA LA KIBABE

0
CHELSEA iliyo chini ya Kocha Mkuu Frank Lampard inapiga hesabu kupitisha panga la moto kwa wachezaji wake ili kujenga kikosi kipya msimu ujao.Licha ya...

SIMBA YAINGILIA DILI LA MTUPIAJI MGHANA ANAYEWINDWA NA YANGA

0
INAELEZWA kuwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wameingia kwenye anga za Yanga kuwania saini ya mshambuliaji Michael Sarpong ambaye hivi karibuni aliachana na...

KAGERA SUGAR YAUKUMBUKA MPIRA

0
UONGOZI wa Kagera Sugar umesema kuwa umeukumbuka mpira baada ya kuukosa kwa muda mrefu kutokana na janga la Virusi vya Corona.Machi 17, Serikali ilisimamisha...

CORONA YAIVURUGAVURUGA KABISA MBAO FC

0
UONGOZI wa Mbao FC umesema kuwa umesitisha program zote kwa sasa kutokana na kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Janga la Corona limeivuruga...

SIMBA WAVUNJA REKODI ZILIZOWEKWA NA AZAM FC PAMOJA NA YANGA

0
MABINGWA watetezi Simba msimu huu wa 2019/20 kabla hata Ligi Kuu Bara kuisha wamevunja rekodi mbili za mabingwa wa zamani ambao ni Yanga na...

MTUPIAJI NAMBA MOJA AKUBALI KUTUA YANGA MAZIMA

0
PAUL Nonga, mtupiaji namba moja ndani ya Klabu ya Lipuli amesema kuwa yupo tayari kusaini ndani ya Yanga iwapo ofa yao itakuwa inaeleweka kwani...

YANGA YAZIDIWA UJANJA KWA SIMBA YAPISHANA NA KIUNGO HUYU FUNDI WALIYEKUWA WAKIMPIGIA HESABU

0
IMEELEZWA kuwa Said Ndemla ameongezewa mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kukipiga kwenye klabu hiyo kwenye msimu ujao baada ya kufikia muafaka mzuri na...