HAWA NSIO SINGIDA UNITED NA MWENDO WAO
SINGIDA United ya mkoani Singida ikiwa chini ya Kocha Mkuu Ramadhan Nswanzurimo ipo nafasi ya 20 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20.Ikiwa...
MKANDALA AFUNGUKIA DILI LAKE LA KUWINDWA NA AZAM FC PAMOJA NA YANGA
CLEOPHANCE Mkandala, kiungo anayetimiza wajibu wake ndani ya Tanzania Prisons iliyo chini ya Kocha Mkuu, Adolf Rishard amesema kuwa bado ana mkataba na mabosi...
YANGA WALICHOFANYIWA NA SIMBA NI UMAFIA, NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
LIGI KUU BARA IKIBONYEZEWA CHEKUNDU, REKODI HIZI ZINAKWENDA NA MAJI
KWA sasa ni dua ambazo zinaendelea kuombwa ili ule uhondo wa Ligi Kuu Bara uweze kurejea upya na burudani iendelee pale ilipoishia.Kumekuwa na mabadiliko...
KUMBE KAGER ANAHUSIKA KUMUONGEZEA UMAKINI BEKI YANGA
JUMA Abdul, beki wa kulia wa Yanga ambaye ni nahodha msaidizi amesema kuwa miongoni mwa washambuliaji ambao huwa anafurahia wakiwa uwanjani ni pamoja na...
BIGIRIMANA MTUPIAJI ANAYEZICHANYA SIMBA NA YANGA ANAPIGA KUTWA MARA TATU
BIGIRIMANA Blaise, raia wa Rwanda amesema kuwa kwa sasa anafanya mazoezi binafsi kutwa mara tatu ili kulinda kipaji chake.Blaise ambaye inaelezwa kuwa ameziingiza vitani...
WATUPIAJI BONGO WAMTAJA NYONI KUWA MIONGONI MWA VISIKI KUPITIKA
WASHAMBULIAJI wazawa wamelia na ugumu wa beki kiraka wa Simba, Erato Nyoni kwa namna anavyokuwa kizuizi kwao kufikia malengo yao ya kucheka na nyavu.Ditram...
HAWA HAPA MBEYA CITY, ANGUKO LAO NA MAFANIKIO YAO YAMEJIFICHA HAPA
UKIZUNGUMZIA timu ambazo ndani ya Ligi Kuu Bara zilipanda kwa mbwembwe kibao na wengi kuzitabiria makubwa hapo baadaye jina la Mbeya City huwezi kuliweka...
MTUPIAJI WA MBAO FC ANA OFA NNE MKONONI
WAZIR Jr, mtupiaji namba moja wa Klabu ya Mbao FC amesema kuwa ana ofa nne mkononi kwa sasa anasubiri wakati ufike afanye maamuzi.Wazir amehusika...
WAWILI WANAOWINDWA NA SIMBA KUTIMKIA MOROCCO
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa wanafikiria kuwapeleka nje ya nchi nyota zao wawili ambao ni Kibwana Shomari na Dickson Job ambao...