SIMBA YAMRUHUSU AJIBU KURUDI YANGA KWA MASHARTI

0
MABOSI wa Simba wamesema kuwa wamemruhusu kiungo wao, Ibrahim Ajibu kuondoka muda wowote atakaohitaji na kwenda kujiunga na klabu nyingine itakayomuhitaji kwa masharti, ikiwemo...

HAWA HAPA WANAOWEZA KUUNDA KIKOSI CHA SH BILIONI MOJA YANGA

0
Yanga hivi sasa wanasubiria tu dirisha la usajili lifunguliwe, kwani tayari kibindoni wana kitita Sh Bil 1.5, ambazo wametengewa na wadhamini wao Kampuni ya...

KIUNGO ANAYEWINDWA NA YANGA AMTAJA TSHISHISHIMBI NA MORRISON

0
ABDULHAMAN Humud, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Mtibwa Sugar amesema kuwa miongoni mwa wachezaji wanaocheza kwenye nafasi yake anaowakubali ni pamoja na Papy...

MAMBO YAKIJIBU TU, MWAMNYETO HUYO ANAIBUKIA MITAA YA KARIAKOO

0
IWAPO mipango itakwenda sawa basi nafasi ya kubaki ndani ya Coastal Union kwa beki wa kati Bakari Mwamnyeto ni ndogo anaweza kuibukia mitaa ya...

KOCHA NA NYOTA WA AZAM FC UWEZEKANO WA KURUDI BONGO NI HAFIFU

0
NYOTA wengi wa kikosi cha kwanza cha Azam FC wapo nje ya nchi kwa sasa jambo linalowapasua kichwa mabosi wao.Razack Abarola, Yakub Mohamed,Nevere Tigere...

MITAMBO HII MITATU NDANI YA SIMBA IMELETWA LEO

0
LEO, Mei 7,2020 majembe matatu yote mali ya Simba yanakumbuka siku yao ambayo yaliletwa duniani na kuanza kuziyeyusha siku ambazo wamepewa na Mungu.Beki kiraka...

NI BALAA PACHA INAYOWINDWA NA YANGA ACHA KABISA

0
IKIWA imetupia mabao 31 msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara, washambuliaji wanne wa Yanga wametupia mabao 13 wakipotezwa na ile pacha ya Namungo...

WANA MICHEZO WANA NGUVU KUBWA KULIKO HATA WANASIASA IWAPO WATAFANYA HIVI

0
Mwandishi Saleh Ally Jembe amesema wanamichezo wana nguvu kubwa ya kupambana na Corona kuliko hata wanasiasa.Akihojiwa na ETv, Salehjembe amesema anaona wanamichezo wengi wakiwemo...

SANCHEZ MAMBO MAGUMU MPAKA INTER MILAN

0
ANTONIO Conte, Kocha Mkuu wa Inter Milan inaelezwa kuwa hana mpango wa kumsajili moja kwa moja nyota wa Manchester United, Alexis Sanchez anayecheza kwa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI, LIPO MTAANI

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi, lipo mtaani jipatie nakala yako jero tu