CORONA IMEFUTA LIGI ZA NCHI HIZI HAPA MSIMU WA 2019/20

0
KUTOKANA na janga la Virusi vya Corona kwenye ulimwengu wa soka kuna nchi ambazo zimefuta msimu wa 2019/20.Miongoni mwa hizo ni pamoja naUganda Kenya Liberia Angola SeychellesEhiopia Ufaransa Congo Niger

MASHINE MPYA YA NKANA ITAKAYOTUA YANGA INA KAZI YA KULA SAHANI MOJA NA VICHWA...

0
MUSSA Mohamed, beki anayekipiga ndani ya Klabu ya Nkana FC ambaye amesema kuwa amezungumza na mabosi wa Yanga juu ya kusaini dili la kujiunga...

SASA KUMEKUCHA, LIGI KUU ENGLAND KUREJEA JUNI, YOU TUBE WAWEKA MKONO

0
LIGI Kuu England inatarajiwa Kurejea mwezi Juni itakuwa ikionyeshwa live pia kwenye mtandao wa You Tube baada ya mabosi kukutana na kukubaliana kwamba mambo...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano

WAWA AYAKUBALI MAJEMBE HAYA MAWILI YA KAZI

0
PASCAL Wawa, beki kisiki wa Simba, amesema anataka kuona Simba inasajili watu wa kazi kwa ajili ya msimu ujao katika kila nafasi ikiwemo nafasi...

MTIBWA SUGAR WANAZISUBIRI YANGA NA SIMBA MEZANI ZIWAPE MAJEMBE YA KAZI

0
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wanazisubiri Yanga na Simba mezani hali itakapokuwa shwari kuzungumza kuhusu ishu ya kuwahitaji nyota wao...

BEKI RASTA ATEMBEA NA MKATABA WA YANGA

0
BEKI wa pembeni wa Yanga, Jaffary Mohammed, amesema kuwa anasubiri kusaini mkataba mpya kuendelea kubakia kwenye klabu yake hiyo. Beki huyo ni kati ya wachezaji...

KOCHA WA YANGA AKWAMA UBELGIJI

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji, amefunguka kuwa kwa sasa hawezi kurejea Dar kwa sababu bado uwanja wa ndege wa nchi...

SERIKALI YAITAKA TFF KUPIGA HODI FIFA KUHUSU LIGI

0
WAZIRI wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema kuwa kuna umuhimu wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) kufanya mazungumzo na Fifa ili kujua...

ARUSHA FC YAIANGUKIA TFF NA WADAU, HALI NI TETE

0
UONGOZI wa Arusha FC, inayoshiriki Ligi Dajaja la Kwanza umeliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuzitazama timu zote zinazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza pamoja...