SERIKALI YAFIKIRIA KUREJESHA LIGI ZOTE NCHINI

0
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli amesema kuwa anafikiria kurejesha ligi zote Bongo.Machi 17, Ligi Kuu Tanzania Bara ilisimamishwa...

BEKI NKANA FC AKUBALI KUMWAGA WINO NDANI YA YANGA

0
MUSSA Mohamed, beki wa Nkana FC amesema kuwa dili lake la kutua Yanga lipo ila Virusi vya Corona vimetibua mambo kwenda sawa.Beki huyo, raia...

CHAMA AMKOSHA KOCHA WA NAMUNGO

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa Clatous Chama ni miongoni mwa viungo Makini ndani ya Uwanja.Akizungumza na Saleh Jembe, Thiery amesema kuwa...

YANGA YATOA TAMKO JUU YA BINGWA WA LIGI KUU BARA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa njia bora ya kumpata bingwa wa Ligi Kuu Bara ni mpira kuchezwa uwanjani ikishindikana basi matokeo yote yafutwe ili...

KAGERE ANA BALAA KINOMA UWANJANI, MABAO YAKE NI ZAIDI YA 40

0
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa kinachomfanya awe bora ni juhudi na kumuomba Mungu jambo.Kagere amefunga jumla ya mabao 42 ndani ya...

MOLINGA ACHEKELEA MAISHA YA YANGA,,ATAJA KINACHOMFELISHA

0
DAVID Molinga, mshambuliaji namba moja wa Yanga amesema kuwa anayafurahia masiha ndani ya Yanga kutokana na sapoti anayopewa kutoka kwa mashabiki pamoja na viongozi.Raia...

MSHAMBULIAJI ANAYEWAPASUA KICHWA SIMBA NA YANGA ANAJIAMINI KATIKA UWEZO WAKE

0
 RELLIANTS Lusajo, mshambuliaji wa Namungo FC amesema kuwa anauwezo wa kucheza timu yoyote ndani ya Bongo kikosi cha kwanza kutokana na uwezo alionao.Imekuwa ikielezwa kuwa...

HAMIS KIIZA ATOA SOMO HILI KWA WACHEZAJI WATAKAOPATA MADILI MAPYA

0
HAMIS Kiiza, mshambuliaji wa zamani wa Yangana Simba amewataka wachezaji watakaopata nafasi ya kuzitumikia timu mpya msimu ujao lazima watambue thamani yao pamoja na...

MGHANA HUYU ANATAJWA KUIBUKIA YANGA

0
MICHAEL Sarpong raia wa Ghana, mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda anatajwa kutua ndani ya Klabu ya Yanga.Nyota huyo amesitishiwa ...

MTUPIAJI HUYU AKUBALI KUTUA YANGA

0
Mshambuliaji wa timu ya Kagera Suga,Yusuf Mhilu amesema kwamba yupo tayari kurudi katika klabu ya Yangakama uongozi wa klabu hiyo utatekeleza mahitaji yake.Mhilu amesema...