BUSUNGU AWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
MAALIM Busungu mshambuliaji wa zamani wa Yanga amesema kuwa kwa sasa ni muhimu kila mmoja akachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Busungu amesema kuwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa mbele Gazetila SPOTIXTRA Jumapili usipange kukosa nakala yako Jero tu
KIUNGO FUNDI ANAYEKIPIGA KARIOBANG SHARKS AKUBALI KUSAINI YANGA
SVEN Yidah, kiungo anayekipiga Klabu ya Kariobang Sharks ya Kenya amesema yupo tayari kusaini ndani ya Yanga ili kucheza kwa mabingwa hao wa kihistoria...
CORONA YATIBUA MIPANGO YA KLABU YA YANGA
MSHINDO Msolla, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, amesema kuwa mambo mengi ya klabu hiyo yamesimamishwa kwa muda kutokana na janga la Virusi vya Corona.Msolla...
MABOSI AZAM FC WATEMBEZA MKWARA MZITO KWA SIMBA
UONGOZI wa Azam FC umeionya Simba juu ya beki wao Yakub Mohamed ambaye anahusishwa kujiunga na mabingwa hao watetezi kwa kusema kuwa hawaruhusiwi kufanya...
KUMBE KOCHA WA SIMBA HUMUAMBII KITU KUHUSU SAMAKI
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa miongoni mwa msosi anaopenda kula ni pamoja na samaki wale wa Bahari ya Hindi kwa kuwa...
FILAMU YA NDEMLA WA SIMBA KUPELEKA MKATABA WAKE YANGA HII HAPA
INAELEZWA kuwa Simba imempatia kiungo wake, Said Ndemla mkataba mpya ili aendelee kusalia klabuni hapo baada ya ule wa awali kuelekea ukingoni taarifa nyingine zinadai...
MTIBWA SUGAR HAWANA HESABU ZA KUKAA MEZANI KUZUNGUMZIA OFA ZA WACHEZAJI
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa hauna mpango wa kuzungumzia ofa za wachezaji wake kutokana na kuwekeza nguvu nyingi kupambana na Virusi vya...
WARWANDA WANAHAHA KUIPATA SAINI YA KAGERE
MEDDIE Kagere, mshambuliaji namba moja wa Simba bado Klabu ya APR ya Rwanda imekomaa kuisaka saini yake kwa ajili ya msimu ujao.APR inaamini kwamba...
NEEMA KUBWA KINOMA YAWAANGUKIA YANGA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dk.Mshindo Msolla, umesema kuwa umeandaa jarida maalumu ambalo litakuwa na mambo mengi ambayo yanaihusu Yanga. Jarida hilo...