NYOTA WA MTIBWA SUGAR AJICHIMBIA FUKWENI KUPIGA MATIZI

0
ABDULHAMAN Humud, nyota anayekipiga Mtibwa Sugar amesema kuwa anaendelea kupiga mazoezi kwenye fukwe li kulinda kipaji chake.Akizungumza na Saleh Jembe, Humud amesema kuwa kwa...

BOB HAISA AREJEA NA PENZI LA KARAHA

0
BOB Haisa, msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye anaimba mtindo wa mduara amesema kuwa amerejea tena kwenye fani hiyo akiwa na kigongo kipya...

NIYONZIMA: AFYA NI MUHIMU, TUCHUKUE TAHADHARI

0
HARUNA Niyonzima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili kuwa salama.Kwa sasa...

ISHU YA CHAMA, TAMKO LATOLEWA NA SIMBA, YANGA WAJIWEKA KANDO

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hakuna timu itakayomchomoa nyota wao raia wa Zambia kwa sasa, Clatous Chama kutokana na kuhitaji huduma yake.Kumekuwa na mvutano...

MTIBWA SUGAR: MUHIMU KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA

0
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa ni wakati wa kila mmoja kuchukua tahadhari kuhusu Virusi vya Corona kuwa janga la dunia.Akizungumza na...

KIKOSI CHA KWANZA CHA OFISA HABARI WA SIMBA AMTAJA MUUAJI WA SIMBA

0
HIKI hapa kikosi cha Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amtaja muuaji wao aliyewatungua Machi 8 Uwanja wa Taifa:-1. Manula wa Simba2.Kapombe wa Simba3.Job...

MBELGIJI WA YANGA YAMKUTA HUKO, AKWAMA KUTUA BONGO MARA MBILI

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amekwama mara ya pili kurejea Bongo kutokana na Serikali kuzuia ndege kupaa ili kuzuia maambukizi ya Virusi vya...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA LIPO MTAANI BURE KABISA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Betika, lipo mtaani jipatie nakala yako BURE kabisa

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano,  Kikosi cha Haji Manara ni noma

KOCHA WA YANGA AZUIWA KURUDI TANZANIA NA MFALME WA UBELGIJI

0
KOCHA wa Yanga, Luc Eymael alitakiwa kurudi nchini leo Jumatano, akitokea kwao Ubelgiji alipokwenda kwa ajili ya masuala yake ya kifamilia ambayo aliyamaliza tangu...