AZAM FC, SIMBA WAMKUMBUKA PATRICK MAFISANGO
PATRICK Mafisango mchezaji wa zamani wa Simba na Azam FC tarehe kama ya leo alitangulia mbele za haki kwa kupata ajali.Timu zote mbili Azam...
WACHEZAJI SIMBA WAPUNGUA KILO, KISA MAZOEZI SASA KAZI
IMEFAHAMIKA kuwa wachezaji wote wa Simba uzito wao umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya kufanyiwa vipimo na kugundulika kutokana na mazoezi mazito wanayoendelea kuyafanya.Wachezaji...
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KUREJEA LIGI
RAIS wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amesema idadi ya wagonjwa wa Virusi vya Corona katika vituo vilivyotengwa imepungua sana, hivyo anaangalia wiki inayoanza...
HUYU HAPA ANATWAA MIKOBA YA LUC EYMAEL WA YANGA
MABOSI wa Klabu ya Yanga wamechungulia mbali na kuona ligi inaweza kurejea hivi karibuni lakini bila ya kuwa na makocha wao wawili, Kocha Mkuu...
GUARDIOLA ANAREJEA BARCELONA
WINGA wa zamani wa Barcelona, Trevor Sinclair amesema kuwa huenda kocha huyo akarejea ndani ya klabu hiyo.Guardiola yupo zake ndani ya Manchester City na...
MAPROO WANNE, MITAMBO YA MABAO NDANI YA YANGA PANGA LINAWAHUSU
INAELEZWA kuwa nyota wanne wa Klabu ya Yanga panga linawahusu msimu ujao kutokana na kushindwa kufiti ndani ya kikosi cha kwanza.Yanga iliyo chini ya...
BUNDESLIGA YAREJEA KWA KISHINDO, HAALAD AANZA YAKE
LIGI Kuu ya nchini Ujerumani maarufu kama Bundesliga imerejea jana rasmi ambapo kazi ilianza kwa mechi sita kupigwa kwenye viwanja tofauti huku mamilioni ya...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili
MAMBO MAGUMU KWA SAID NDEMLA NDANI YA SIMBA
SAID Ndemla nyota wa Klabu ya Simba msimu huu 2019/20 mambo yamekuwa magumu kwake kutokana na kutokuwa na nafasi kikosi cha kwanza.Simba ikiwa imecheza...
MKE AMTWANGIA SIMU MCHEZAJI AKIWA UWANJANI
PETER Crouch nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya England amesema kuwa mkewe alikuwa hapendi kuskia kitu kinaitwa mpira wa miguu. Nyota huyo aliyekipiga...