DANI ALVES ATAJA TIMU ANAYOPENDA KWENDA KUSTAAFIA
DANI Alves, staa anayekipiga ndani ya Sao Paulo amesema kuwa haitakuwa vibaya kama atastaafia ndani ya Klabu ya Boca Junior.Beki huyo ambaye amekipiga pia...
KILICHO NYUMA YA MBEYA CITY ILE YENYEWE CHATAJWA
PAUL Nonga, mshambuliaji wa kikosi cha Lipuli ambaye alikuwa miongoni mwa kikosi cha Mbeya City kilichotamba msimu wa 2013/14 ndani ya Ligi Kuu Bara...
SIMBA NA YANGA ZACHONGANISHWA NA MTUPIAJI HUYU
BIGIRIMANA Blaise nyota wa timu ya Namungo amesema kuwa ndoto yake ni kuona anaweza kucheza ndani ya timu kubwa Bongo ikiwa ni pamoja na...
SERIKALI YA UINGEREZA YAANZA MPANGO WA KUTAKA KUIREJESHA LIGI KUU
SERIKALI ya Uingereza inaelezwa kuwa ipo kwenye mpango wa kutazama upya namna bora ya kurejesha Ligi Kuu England ili kurudisha furaha kwa mashabiki wa...
CR 7 HATMA YAKE NDANI YA JUVENTUS IPO NAMNA HII
CRISTIANO Ronaldo nyota wa Juventus inaelezwa kuwa ataendelea kukipiga ndani ya kikosi hicho msimu ujao.Habari zilikuwa zinaeleza kuwa Klabu ya PSG ilikuwa sokoni kuisaka...
WAWA ACHEKELEA MAISHA YAKE NDANI YA SIMBA
PASCAL Wawa, beki kisiki wa Simba amesema kuwa anafurahia maisha yake ndani ya timu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Kariakoo.Wawa ni miongoni mwa...
MANCHESTER CITY YAPELEKA TUZO LIVERPOOL
KEVIN de Bruyne staa wa Manchester City amesema kuwa tuzo ya mchezaji bora wa msimu iende Liverpool.Mpishi huyo wa mabao akiwa na pasi 16...
GSM YAANZA NA NYOTA HUYU,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu, lipo mtaani jipatie nakala yako nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
KIUNGO WA SUDAN APANIA KUFANYA MAKUBWA SIMBA
KIUNGO Sharaf Shiboub raia wa Sudan, ameliambia Spoti Xtra kuwa, kabla ya Ligi Kuu Bara kusimama kutokana na janga la Corona, alikuwa hafurahishwi na...
MTUPIAJI BONGO: UKIMPITA YONDANI JIPONGEZE
YUSUPH Mhilu mshambuliaji anayekipiga ndani ya Kagera Sugar, amesema kuwa moja ya mabeki anaokubali uwezo wao ndani ya Bongo ni pamoja na Kelvin Yondani...