SAMATTA APATA DILI JINGINE, VILLA WAKISHUKA TU ANAIBUKIA HUKU
BABA mzazi wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, mzee Ally Samatta amefunguka kuwa anaamini mtoto wake ataendelea kucheza Ligi Kuu England hata...
HIVI NDIVYO KOCHA WA SIMBA ALIVYOUNGANA NA GLOBAL GROUP KUTOA MSAADA
KKOCHA wa zamani wa Simba, Talib Hilal amevutiwa na namna Global Group ambavyo imekuwa ikisaidia jamii na kuamua kushirikiana nayo kufikisha misaada kupitia kampuni...
KWA WALICHOKIFANYA IHEFU WANASTAHILI KUWA DARASA, ILA HILI LA CORONA LISIPUUZWE
KAZI bado ipo palepale kwa kila mmoja kuendelea kujilinda kila siku kila saa kwa kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Virusi vya Corona ni...
SARRI APEWA ZIGO LA LAWAMA NA KIUNGO HUYU ANAYEKIPIGA BORUSSIA DORTMUND
KIUNGO wa Borussia Dortmund, Emre Can amefunguka kuwa aliyewahi kuwa kocha wake Maurizio Sarri alishindwa kumpa nafasi, lakini kwa kiasi alipata uzoefu.Can amejiunga na...
NI MUDA WA KLABU ZOTE BONGO KUUNGANA KWENYE VITA HII, ILE VITA YA AWALI...
VITA ni vita bila kujali ni jambo la aina gani ambalo unapambana nalo kikubwa ni mpango mpya na kujua namna ya kuingia kwa hesabu...
MANULA AZIKUMBUKA KELELE ZA MASHABIKI BONGO, ALIA NA CORONA
AISHI Manula mlinda mlango namba moja wa Klabu ya Simba amesema kuwa kwa sasa amezikumbuka kelele za mashabiki wake uwanjani ila anashindwa kuziskia kutokana...
SINGIDA UNITED WAWA MABALOZI WA HIYARI KUPAMBANA NA CORONA
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kwa kipindi hiki kigumu cha maambukizi ya Virusi vya Corona wameamua kuwa mabalozi kwa jamii ili kupambana kwa...
MTUPIAJI ANAYEWINDWA NA YANGA ANAPIGA MOJA KUBWA
DARUWESH Saliboko, nyota anayewindwa na Klabu ya Yanga amesema kuwa kwa sasa anapiga mazoezi mara moja kwa wiki ili kulinda kipaji chake.Nyota huyo anayekipiga...
SANCHEZ KUREJEA MILAN WIKI HII
STAA wa Klabu ya Inter Milan, Alexis Sanchez wiki hii anatarajiwa kurejea jijini Milan akitokea nchini kwao Chile baada ya kupewa ruhusu licha ya...