MO HAELEWIELEWI INAKUAJEKUAJE NDANI YA SIMBA

0
MOHAMED Rashid, mshambuliaji wa Simba anayekipiga kwa mkopo ndani ya Klabu ya JKT Tanzania amesema kuwa bado hajazungumza na mabosi wake kuhusu hatma ya...

JESE RODRIGUEZ AFIKIRIA KUREJEA PSG

0
JESE Rodriguez, mshambuliaji wa Klabu ya PSG anayekipiga ndani ya Klabu ya Sporting Lisbon kwa mkopo yupo kwenye mpango wa kurejea kwenye klabu yake...

MSHAMBULIAJI AZAM FC AZIDI KUJINOA AKIWA NYUMBANI

0
MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa anaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona huku akifanya mazoezi binafsi akiwa nyumbani.Akizungumza...

MTUPIAJI NAMBA MOJA POLISI TANZANIA AKUBALI KUWAGA WINO YANGA

0
SIXTUS Sabilo, mshambuliaji wa Klabu ya Polisi Tanzania amesema kuwa yupo tayari kusaini ndani ya klabu ya Yanga iwapo watafuata utaratibu wa kuipata saini...

AZAM FC YACHEKELEA KUKAMILISHA UKARABATI WA UWANJA WAO

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa tayari ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex umekamilika asilimia zote ukiwa sawa na ule wa TP Mazembe.Akizungumza na...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi 

KISA CORONA…OZIL AKATAA MSHAHARA WAKE KUPUNGUZWA ARSENAL ..!!

0
KIUNGO Mesut Ozil inadaiwa ni miongoni mwa wachezaji watatu ndani ya Arsenal waliyokataa kuchukua mshahara uliyopunguzwa kwa asilimia 12.5.Juzi, Jumatatu, Washika Bundika walitangaza kuwa...

GADIEL- WACHEZAJI WA SIMBA TUNA DENI

0
BEKI wa kushoto wa kikosi cha Simba, Gadiel Michael, amesema kuwa, wachezaji wa timu hiyo wana deni kubwa la kulipa kwa mashabiki wa klabu...

OLE GUNNAR ANAAMINI RASHFORD NI MATATA KULIKO KANE

0
OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa ana furaha kwa kuwa klabu yake haikutumia pauni milioni 200 kuinasa saini ya Harry...

KESHO NDANI YA SPOTIXTRA SVEN AMCHAMBUA STRAIKA MPYA

0
Kabaaang! Spoti Xtra limemfikia Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck na kuzungumza naye kwa takribani dakika 56.Nunua gazeti lako keshoAlhamisi kwa Tsh 500 tu, usome...