KUMEKUCHA YANGA, KAZI BADO INAENDELEA LEO TENA VIPIMO PAMOJA NA DARASA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa wapo kamili kwa ajili ya kuendelea na ligi pamoja na Kombe la Shirikisho baada ya Serikali kuruhusu masuala ya...

SIMBA WAWASILI KAMBINI RASMI

0
LEO wachezaji na benchi la ufundi la Klabu ya Simba wamewasili kambini leo kwa ajili ya kujiaandaa na mechi za Ligi Kuu Bara pamoja...

MAKAMBO RUKSA KUTUA YANGA,NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano 

JEMBE LA SIMBA LINALOTUA LEO NI BALAA

0
FRANCIS Kahata ndiyo jembe la kazi la Simba ambalo inaelezwa kuwa linatua leo kuungana na mabingwa hao watetezi kuendelea mbio za kuufukuza ubingwa zinazotarajiwa...

CORONA YAVURUGAVURUGA MAMBO KIBAO YA ABDI BANDA

0
BEKI wa kimataifa wa Tanzania anayecheza katika kikosi cha Highlands Park kinachoshiriki Ligi Kuu Afrika kusini, Abdi Banda, amesema kuwa ana shauku kubwa ya...

YANGA YAOMBA MUDA ZAIDI WA KUJIANDAA KWA MABOSI TFF KABLA YA LIGI KUREJEA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, raia wa Ubelgiji amefunguka kwamba licha ya Serikali kuruhusu michezo lakini Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wanatakiwa kutoa...

MARIOO WA INATOSHA AWASHUKURU MASHABIKI WAKE, KAZI NYNGINE ADAI ZINAKUJA

0
UKISIKIA ngoma hii ambayo haikosekani kwenye laptop za MA-DJ, lazima utauliza inaitwaje na ni ya mwanamuziki gani?Usipate taabu. Ngoma inaitwa Unanikosha. Ni ya dogo mmoja...

KAHATA ACHEKELEA MAISHA NDANI YA SIMBA

0
KIUNGO wa Simba, Francis Kahata raia wa Kenya amesema kuwa mabosi wake wa sasa wapo vizuri kwenye masuala ya mipango tofauti na Gor Mahia.Kahata...

LIPULI FC YAPIGIA HESABU 10 BORA NDANI YA LIGI KUU BARA

0
UONGOZI wa Klabu ya Lipuli yenye ngome yake mkoani Iringa umesema kuwa utapambana kufikia malengo yake kwenye mashindano yote ili kumaliza ligi ikiwa ndani...