SENZO – TULIENI..MAMBO MAZURI YANAKUJA MSIMBAZI
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba wamekuwa wakihusishwa kuwafuatilia wachezaji mbalimbali ndani na nje ya nchi hasa Bara la Afrika.Simba inapanga kufanya usajili...
KISA CORONA.. WACHEZAJI WA AZAM FC WATENGWA..!!
AZAM FC mabosi wao bado wanakuna kichwa juu ya maisha yatakuaje mara baada ya wachezaji wao kurejea kama hali ya ugonjwa wa corona itatulia.Mtendaji...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasawa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili lipo mtaani Jipatie nakala yako
JEURI YA PESA..!! SIMBA YAZUIA NYOTA WAKE 10 KUSEPA
JEURI ya fedha iliyoonyeshwa na Simba katika kipindi cha misimu mitatu mfululizo imewatia pingu kwa muda wa misimu mitatu mfululizo nyota 10 wazawa tofauti...
ANDRES PALOP KIPA WA ZAMANI WA VALENCIA APONA VIRUSI VYA CORONA
KIPA wa zamani wa klabu ya Valencia na Sevilla, Andres Palop hatimaye ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kuugua ugonjwa wa COVID19 unaosababishwa na Virusi...
MBELGIJI WA YANGA KUSHUSHA KIUNGO ATAKAYEMPA CHANGAMOTO TSHISHIMBI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amepanga kushusha kiungo mmoja mkabaji wa kimataifa atakayecheza namba sita baada ya kugundua upungufu katika safu hiyo.Safu...
MNATA:MUDA MWINGINE UNAPIGA KELELE HUJUI UNAZUGUMZA NINI, PRESHA TUPU
METACHA Mnata mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa ni presha kubwa kuwa ndani ya uwanja kwenye mechi kubwa hasa kwa mlinda mlango...
BALOTELI BADO ANA URAFIKI NA NYAVU
MARIO Balotelli ni raia wa Italia anayekipiga ndani ya Klabu ya Brescia pamoja na timu ya Taifa ya Italia.Amezaliwa Agosti 12,1990 ana umri wa...
VIDEO: MEDDIE KAGERE AKIJIFUA SEBULENI
MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere akiwa Kwenye mazoezi binafsi sebuleni wakati huu wa kujilinda dhidi ya Virusi vya Corona