MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA LIPO MTAANI BURE KABISA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Betika, lipo mtaani jipatie nakala yako BURE kabisa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, Kikosi cha Haji Manara ni noma
KOCHA WA YANGA AZUIWA KURUDI TANZANIA NA MFALME WA UBELGIJI
KOCHA wa Yanga, Luc Eymael alitakiwa kurudi nchini leo Jumatano, akitokea kwao Ubelgiji alipokwenda kwa ajili ya masuala yake ya kifamilia ambayo aliyamaliza tangu...
‘BARTHEZ’ – KWA SIMBA HII KILA MCHEZAJI ANAKUFUNGA
KIPA wa zamani wa Simba, Ally Mustapha ‘Barthez’ amebainisha kuwa hata nafasi ya beki wa kati anacheza freshi tu lakini akaonyesha Simba hii ni...
YANGA YA GSM YATENGA MILIONI 80 KUMNG’OA ‘HD’ MSIMBAZI..MPANGO MZIMA UKO HIVI..!!
YANGA wamekutana ijini Dar es Salaam na kukubaliana kuachana na mastaa wa Simba kwenye usajili ujao, lakini siyo Hassan Dilunga ambaye ni kipenzi cha...
SVEN AMTEGA SHEVA MSIMBAZI
KOCHA wa Simba, Sven Vanderbroeck amesisitiza kuimarika kwa mshambuliaji wake, Miraji Athuman ‘Sheva’, kutaifanya timu yake itishe zaidi kwenye eneo la mbele kwa vile...
YANGA YA GSM YAJITOSA UPYA KWA MAKAMBO WA HOROYA
YANGA wameamua kujilipua tena kwa straika wao wa zamani, Heritier Makambo anayekipiga AC Horoya ya Guinea.Awali, Horoya waligoma kumuachia Mkongomani huyo kwa madai kwamba,...
NDANDA YAGOMA KUSHUKA DARAJA
VITALIS Mayanga, mshambuliaji wa Ndanda FC amesema kuwa ni ngumu kwa timu yao kushuka daraja kutokana na hesabu ambazo wanazipiga kwa sasa.Mayanga amejiunga na...
MCHEKA NA NYAVU ANAYEWINDWA NA YANGA ATAJA KINACHOIMALIZA TIMU YAKE YA ZAMANI
MTUPIA mabao namba moja ndani ya Namungo ambaye aliwahi kucheza pia ndani ya Yanga amesema kuwa kilichokuwa kinaiponza Yanga kushindwa kutupia mabao mengi ni...
CHELSEA YAWEKA NGUMU KWA KANTE KUIBUKIA KWA ZIDANE
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Chelsea imesitisha mpango wa kumuuza nyota wao N'Golo Kante msimu ujao.Real Madrid iliyo chini ya Kocha Mkuu Zinedine Zidane inatajwa...