NYOTA NAMUNGO FC WAMEWEKWA KATI KWA SIMBA NA YANGA KWA MTINDO HUU
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amekuwa na msimu mzuri ndani ya Namungo FC kwa kukiongoza kikosi chake kwenye mechi 28 na kukifanya kiwe...
ISHU YA AJIBU KUSEPA SIMBA IMEFIKIA HAPA
BAADA ya hivi karibuni kiungo mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu kudaiwa kupata dili la kuwaniwa na moja ya timu kutoka nje ya Tanzania, uongozi...
HARMONIZE HANA HABARI KWA SASA NA DIAMOND
MWASISI wa Konde Worldwide, mwanamuziki Harmonize, amesema hivi sasa hana uhusiano wowote na bosi wake wa zamani wa kundi la Wasafi Classic, Diamond Platnumz,...
SIMBA HAIJANYAMAZA, YATOA TAMKO JINGINE KUHUSU LIGI, YAMPA TANO JPM
UONGOZI wa Simba umesema kuwa Rais John Magufuli anaonyesha nini maana ya uongozi baada ya leo kusema kuwa anafikiria kurejesha lizi zote za Bongo.Magufuli...
CORONA YASITISHA MPANGO WA MAJEMBE KAZI KUTUA AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC umefunguka kuwa kutokana na uwepo wa maambukizi ya Virusi vya Corona kumesababisha majembe ya maana kushindwa kutua klabuni hapo.Mabosi hao...
SERIKALI YAFIKIRIA KUREJESHA LIGI ZOTE NCHINI
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli amesema kuwa anafikiria kurejesha ligi zote Bongo.Machi 17, Ligi Kuu Tanzania Bara ilisimamishwa...
BEKI NKANA FC AKUBALI KUMWAGA WINO NDANI YA YANGA
MUSSA Mohamed, beki wa Nkana FC amesema kuwa dili lake la kutua Yanga lipo ila Virusi vya Corona vimetibua mambo kwenda sawa.Beki huyo, raia...
CHAMA AMKOSHA KOCHA WA NAMUNGO
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa Clatous Chama ni miongoni mwa viungo Makini ndani ya Uwanja.Akizungumza na Saleh Jembe, Thiery amesema kuwa...
YANGA YATOA TAMKO JUU YA BINGWA WA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa njia bora ya kumpata bingwa wa Ligi Kuu Bara ni mpira kuchezwa uwanjani ikishindikana basi matokeo yote yafutwe ili...