UNAAMBIWA BEKI WA NKANA ANAYEWINDWA NA YANGA NI JEMBE

0
BEKI wa pembeni wa zamani wa Yanga, Hassan Kessy, amesema kuwa kama klabu yake hiyo ya zamani ikifanikiwa kunasa saini ya beki wa kati...

ARSENAL YAMPIGA MKWARA WA KIMTINDO AUBAMEYANG

0
MIKEL Arteta Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa hawezi kumbembeleza mchezaji kusalia ndani ya klabu hiyo iwapo hana nia ya kubaki hapo.Hali hiyo imefikia...

MAJEMBE HAYA 10 YA KAZI YAINGIA ANGA ZA YANGA

0
INAELEZWA kuwa Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael inawapigia hesabu nyota 10 ili watakaokidhi vigezo watue jumla ndani ya kikosi hicho msimu...

SAID NDEMLA MAMBO BADO NDANI YA SIMBA

0
SAID Ndemla, kiungo wa Simba inaonekana amewagawa viongozi wa timu hiyo ambapo wapo wale wanaotaka nyota huyo aongezewe kandarasi na wengine wanataka asiongezewe.Habari zinaeleza...

TIMU ZINAZOTAKA SAINI YA MWAMNYETO INABIDI ZIVUNJE TU BENKI HAMNA NAMNA

0
INAELEZWA kuwa thamani ya beki wa Coastal Union,  Bakari Mwamnyeto inafika milioni 85 hivyo timu inayomtaka ivunje benki kuweka mkwanja huo mezani.Beki huyo chipukizi...

AJIBU ATAJA KILICHOMUENGUA KIKOSINI SIMBA

0
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa sababu kubwa ya kutokuwa kwenye kikosi cha kwanza ni matatizo ya kifamilia.Ajibu ameweka wazi kuwa awali...

YIKPE MSHAMBULIAJI WA YANGA AOMBA APEWE MUDA KUONYESHA MAAJABU

0
YKIPE Gislain amesema kuwa anaomba apewemuda zaidi ndani ya Klabu ya Yanga ili kuonyesha ujuzi wake wote.Nyota huyo alisajiliwa akitokea Klabu ya Gor Mahia...

REAL MADRID HAWANA MPANGO NA RAMOS

0
SERGIO Ramos nyota wa Klabu ya Real Madrid inaelezwa kuwa timu yake haina mpango wa kumpa ofa ya mkataba mpya mshambuliaji huyo.Ramos mwenye miaka...

MTUPIAJI WA ZAMANI WA YANGA TAMBWE ATAMANI KURUDI TENA KIKOSINI

0
AMIS Tambwe raia wa Burundimshambuliaji wa zamani wa Yanga amesema kuwa anatamani kurudi kukipiga  ndani ya klabu hiyo.Tambwe alijiunga na Yanga msimu wa 2014/15...

MUIVORY COAST WA SIMBA APANIA KWELI, APIGA TIZI KALI

0
PASCAL Wawa beki kisiki wa Klabu ya Simba, raia wa Ivory Coast amesema kuwa kwa sasa anatumia muda mwingi kupiga matizimakali ili kulinda kipaji...