KUMBE KAGER ANAHUSIKA KUMUONGEZEA UMAKINI BEKI YANGA

0
JUMA Abdul, beki wa kulia wa Yanga ambaye  ni nahodha msaidizi amesema kuwa miongoni mwa washambuliaji ambao huwa anafurahia  wakiwa uwanjani ni pamoja na...

BIGIRIMANA MTUPIAJI ANAYEZICHANYA SIMBA NA YANGA ANAPIGA KUTWA MARA TATU

0
BIGIRIMANA Blaise, raia wa Rwanda amesema kuwa kwa sasa anafanya mazoezi binafsi kutwa mara tatu ili kulinda kipaji chake.Blaise ambaye inaelezwa kuwa ameziingiza vitani...

WATUPIAJI BONGO WAMTAJA NYONI KUWA MIONGONI MWA VISIKI KUPITIKA

0
WASHAMBULIAJI wazawa wamelia na ugumu wa beki kiraka wa Simba, Erato Nyoni kwa namna anavyokuwa kizuizi kwao kufikia malengo yao ya kucheka na nyavu.Ditram...

HAWA HAPA MBEYA CITY, ANGUKO LAO NA MAFANIKIO YAO YAMEJIFICHA HAPA

0
UKIZUNGUMZIA timu ambazo ndani ya Ligi Kuu Bara zilipanda kwa mbwembwe kibao na wengi kuzitabiria makubwa hapo baadaye jina la Mbeya City huwezi kuliweka...

MTUPIAJI WA MBAO FC ANA OFA NNE MKONONI

0
WAZIR Jr, mtupiaji namba moja wa Klabu ya Mbao FC amesema kuwa ana ofa nne mkononi kwa sasa anasubiri wakati ufike afanye maamuzi.Wazir amehusika...

WAWILI WANAOWINDWA NA SIMBA KUTIMKIA MOROCCO

0
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa wanafikiria kuwapeleka nje ya nchi nyota zao wawili ambao ni Kibwana Shomari na Dickson Job ambao...

FUNDI HUYU WA CONGO KUTUA YANGA, NI YULE ALIYELETWA KININJA NA SIMBA

0
INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga upo kwenye mchakato wa kusaka saini ya kiungo  Fabrice Mugheni, raia wa DR Congo.Mugheni ni miongoni mwa viungo bora...

KIBAYA WA MTIBWA SUGAR ATAJA ATAKAPOKUWA MSIMU UJAO

0
JAFFARY Kibaya, mshambuliaji wa Mtibwa Sugar amesema kuwa ataendelea kubaki ndani ya klabu hiyo msimu ujao kutokana na kufurahia maisha anayoishi hapo alipo kwa...

CR 7 KARANTINI YAMUHUSU

0
NYOTA anayekipiga ndani ya Juventus, Cristiano Ronaldo amepelekwa karantini wakati wachezaji wenzake wanaoshiriki Serie A wakiwa wamenaza mazoezi.Ronaldo alikuwa kwao Ureno kwa mapumziko baada...