Uncategorized

CR 7 KARANTINI YAMUHUSU

admin May 10, 2020 11:29 am

NYOTA anayekipiga ndani ya Juventus, Cristiano Ronaldo amepelekwa karantini wakati wachezaji wenzake wanaoshiriki Serie A wakiwa wamenaza mazoezi.

Ronaldo alikuwa kwao Ureno kwa mapumziko baada ya ligi hiyo kusimama kutokana na uwepo wa corona, mapema wiki hii alirejea Italia na kupelekwa karantini kwa siku 14.

Wiki hii, Juventus walianza mazoezi chini ya uangalizi maalum ili kujiepusha na maambukizi ya corona.

Baadhi ya mastaa walioonekana wakianza mazoezi ni Giorgio Chiellini, Aaron Ramsey na Leonardo Bonu-cci.
VIDEO: ITAZAME VIDEO MPYA YA ROSTAM, KAKA TUCHATI KIBAYA WA MTIBWA SUGAR ATAJA ATAKAPOKUWA MSIMU UJAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply