NYOTA HUYU KIPENZI CHA MASHABIKI ATAJWA KUREJEA JANGWANI
INAELEZWA kuwa miongoni mwa washambuliaji ambao wanahitajika kurudi ndani ya Klabu ya Yanga ni pamoja na staa wao wa zamani, Heritier Makambo anayekipiga Horoya.Msimu...
CHAMA ATAJA HATMA YAKE NDANI YA SIMBA
CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba ameweka wazi muda ambao bado atakuwa ndani ya Klabu ya Simba.Chama amekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga msimu huu...
MTUPIAJI MWINGINE HUYU WA CONGO AINGIA ANGA ZA YANGA
LELO Amfumu ni nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Rangers inayoshiriki Ligi Kuu nchini Congo.Nafasi yake ni ushambuliaji na ni miongoni mwa washambuliaji ambao...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi, lipo mtaani jipatie nakala yako
KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA NI MUHIMU, ILA WACHEZAJI MSIPUUZIE PROGRAM ZENU
KILA mmoja kwa sasa anapambana kujiokoa kutoka kwenye hali isiyopendwa na wengi ambayo ni maradhi yaliyoingia kwa kasi kutokana na maambukizi yake kuongezeka kila...
KUHUSU USAJILI WA WACHEZAJI WANAOKIPIGA NDANI YA BONGO SIMBA YASEMA HAISHINDWI KUSAJILI
SENZO Mazingisa,Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba amesema kuwa timu yake haishindwi kumsajili mchezaji yeyote anayecheza katika ligi ya Tanzania ikiwa inamhitaji.Simba imekuwa ikihusishwa...
KOCHA WA SIMBA ASEPA NA MTU, KESHO NDANI YA GAZETI LACHAMPIONI JUMAMOSI
Kesho ndani ya Gazeti la Championi Jumamosi, usikubali kukosa jipatie nakala yako na nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
KOCHA REAL MADRID ATOA MSAADA AFRIKA KWA AJILI YA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA
ZINEDINE Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid ametoa msaada wa vifaa tofauti katika hospitali za nchini Algeria kwa ajili ya kupambana na Virusi vya...
KEVIN DE BRUYNE AJIPA UBALOZI WA HIYARI
KIUNGO mtengeneza mipango ndani ya Klabu ya Manchester City, Kevin De Bruyne amesema kuwa amekuwa balozi mzuri kwa sasa kwenye familia yake kuhusu kujilinda...