BAADA YA SVEN KUONYESHA KUMUHITAJI..KIUNGO NAMUNGO AMEFUNGUKA HAYA..!!

0
KOCHA wa Simba, Mbelgiji Sven, hakuficha hisia zake namna anavyomkubali kiungo wa Namungo FC, Lucas Kikoti ‘Mtakatifu Kikoti’, sasa mchezaji mwenyewe amesisitiza, ikitokea Wekundu...

ISHU YA YANGA NA SIMBA IMENOGA,KESHO NDANI YA SPOTIXTRA

0
KESHO ndani ya SPOTIXTRA Alhamisi mambo yatakuwa namna hii, nafasi ya kushinda Gari ni yako

SIMBA: PENGO LA OKWI BADO LIPO

0
AISHI Manula, mlind mlango namba moja wa Simba amesema kuwa mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Emmanuel Okwi ni mchezaji bora kuwahi kutokea katika...

AZAM, SIMBA NA YANGA ZAKUTANA KWA MFUMANIA NYAVU NAMBA MOJA LIPULI

0
PAUL Nonga mtupiaji wa Lipuli ameziweka vitani timu tatu kubwa ambazo zinahitaji saini yake kwa sasa ikiwa ni pamoja na Azam FC, Yanga na...

BABY J AJA NA MKWARA MZITO KWA ATAKAYEMROGA

0
MWANAMUZIKI maarufu wa visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby J’ amesema kuwa zamani watu wengi walikuwa wakipenda kucheza na mwili wake lakini sasa hivi yuko imara...

WALICHOMFANYA KIUNGO WA SIMBA LUIS MATAPELI ACHA KABISA

0
LUIS Miquissone nyota wa Simba amejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia baadhi ya watu ‘matapeli’ kutumia jina lake  katika mitandao ya kijamii kuomba pesa kwa...

THOMAS PARTEY KUIBUKIA ARSENAL MSIMU UJAO

0
THOMAS Teye Partey, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Atletico Madrid inayoshiriki La Liga inaripotiwa kuwa msimu ujao atajiunga na Klabu ya Arsenal inayoshiriki...

HASHEEM IBWE AWAOMBA WATANZANIA WAENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

0
HASHEEM Ibwe, mwandishi wa Habari za Michezo kutoka kituo cha Azam TV amesema kuwa kwa kipindi hiki ni muhimu kila mmoja kuchukua tahadhari kujilinda...

MTUPIAJI WA LIPULI HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA KWA SASA

0
DARUESH Saliboko, nyota anayekipiga ndani ya Lipuli yenye maskani yake mkoani Iringa amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji chake...