YANGA YA GSM YADHAMIRIA KUIBOMOA UD SONG..NUGAZ AMEFUNGUKA A-Z..!!
KATIKA kuhakikisha inatekeleza mapendekezo ya kukiimarisha kikosi chao kama ilivyopendekezwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, uongozi wa Yanga umeanza mchakato wa kunasa...
YANGA NA TSHISHIMBI..MAMBO NI BAMBAM..!!
HATIMAYE uongozi wa Yanga umefanikiwa kukamilisha mchakato wa kumwongezea mkataba mpya kiungo wake wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Papy Tshishimbi,...
MIRAJI ATHUMAN- NIMEREJEA UPYAAA
MSHAMBULIAJI wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, Miraji Athuman, amesema mazoezi ya wiki mbili yatamfanya arejee katika ubora wake ule ule...
KASSIM DEWJI AWEKA HADHARANI WALICHOIFANYA ZAMALEK CAF 2003
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Simba, Kassim Dewji 'KD", ameweka wazi timu hiyo ilifanya vema katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye...
KIUNGO POLISI TANZANI- NIYONZIMA AMENIIBA NAFASI YANGU YA KUSAJILIWA YANGA
KIUNGO wa Polisi Tanzania, Baraka Majogoro amesema kuwa kama asingekuwa Haruna Niyonzima kurejeshwa katika kikosi cha Yanga basi yeye angekuwa mmoja wa wachezaji wa...
MASHINE ZINAZOHITAJIKA SIMBA HIZI HAPA, ISHU YA MSHAHARA YANGA, NI KESHO NDANI YA CHAMPIONI...
KESHO ndani ya Championi Jumatatu litakuwa namna hii
KIUNGO MBUSA AINGIA ANGA ZA SIMBA KUMPA CHANGAMOTO JONAS MKUDE
JEREMIE Mumbere Mbusa ameletwa duniani 10 Juni 1991 anakipiga ndani ya AS Vita ya Congo.Ana umri wa miaka 28 anacheza nafasi ya kiungo pia...
WACHEZAJI WOTE ENGLAND KUPIMWA CORONA KABLA YA KUCHEZA
MTENDAJI Mkuu wa Chama cha Makocha wa Ligi England, Richard Bevan, amesema msimu wa soka nchini humo hautaendelea kama wachezaji wote hawatapimwa Corona. Kauli hiyo...
HUYU HAPA NDIYE MOZIZI ANAYETAJWA KUTUA KLABU ZA BONGO KUTOKA CONGO
MPIANA Mozizi anakipiga ndani ya Klabu ya FC Lupopo inayoshiriki Ligi Kuu nchini Congo.Timu yake ipo nafasi ya 11 ikiwa imecheza mechi 22 kibindoni...
HIZI PACHA TATU NI BALAA ZILIKUWA ZIMEWAKA KWA KUCHEKA NA NYAVU
LIGI Kuu Bara ikiwa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona kuna pacha ambazo zilikuwa ni matata uwanjani kwa kucheka na nyavu.Vinara kwenye pacha...