WACHEZAJI YANGA WAPIGWA STOP KULA CHIPSI
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wameshauriwa kuacha kula vyakula vyenye mafuta mengi ili kuepuka kuongezeka uzito ghafla.Kwa sasa Ligi Kuu...
KOCHA SIMBA: WACHEZAJI WASIOFANYA MAZOEZI WANAZIFELISHA TIMU
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa kwa kipindi hiki kigumu cha maambukizi ya Virusi vya Corona wachezaji ambao hawatafuata program walizopewa watarudisha...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE WA GAZETI LA SPOTIXTRA LIPO MTAANI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SpotiXtra Jumapili, nafasi ya kushinda kwa jero tu ni yako
YANGA YAMVUTIA KASI NYOTA ANAYEKIPIGA NDANI YA CONGO, MAMBO NI MOTO
INAELEZWA kuwa bosi mmoja wa GSM anatarajiwa kupanda ndege hadi nchini DR Congo kwenda kumalizana na winga wa AS Vita, Tuisila Kisinda mwenye miaka...
ISHU YA BEKI WA COASTAL UNION KUIBUKIA SIMBA IPO NAMNA HII
BAKARI Mwamnyeto, nahodha wa Coastal Union amesema kuwa hana hiyana iwapo kikosi cha Simba kitahitaji saini yake. Inaelezwa kuwa mabosi wa Simba wanahitaji huduma ya ...
HERITIER MAKAMBO AINGIA ANGA ZA YANGA TENA
HERITIER Makambo, nyota wa zamani wa Yanga inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kurejea ndani ya kikosi hicho kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji.Makambo...
METACHA: KOCHA SIMBA ALIVYONIAMBIA NITOKE GONGO LA MBOTO SAA 10 USIKU
NAJUA nimekuwa gumzo kubwa kutokana na maendeleo ambayo nimekuwa nikianza kuyapata taratibu katika mchezo wa soka, ndio maana hata ukiwauliza wapenda mpira majina matatu...
WAKATI WA YANGA, SIMBA KUJIFUNZA KUPITIA JANGA LA CORONA
NA SALEH ALLYITAKUWA si vibaya kukumbusha mambo ambayo tunaamini yatakuwa na msaada katika maendeleo ya mpira wetu nchini.Bila ubishi, kuna mengi tumejadili na huenda...
TUJIFUNZE NAMNA MADINI YA AJIBU YALIVYOMALIZIKIA BENCHI…
Na Saleh AllyHAKUNA anayelalamika kuhusiana na kiwango cha mshambuliaji Ibrahim Ajibu Migomba kupitia kipaji, badala yake ni neno moja na tunapaswa kujifunza kupitia kwake.Inawezekana...