KUNA KISHINDO YANGA,KESHO NDANI YA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
Kesho ndani ya SPOTIXTRA Alhamisi

RONALDINHO NA KAKA YAKE WAPATA DHAMANA

0
HATIMAYE Ronaldinho nyota wa zamani wa Klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Brazil na kaka yake Assis wamepata dhamana na kutoka gerezani...

MANCHESTER UNITED BANA ETI ISHU YA CORONA WAIGEUZA DILI

0
OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United,amesema kuwa kuibuka kwa Virusi vya Corona kunaweza kuwa na faida kwao kuelekea kwenye dirisha la usajili.Kwa...

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KUFUTWA KWA LIGI KUU BARA

0
OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba (C.E.O), Senzo Mazingisa, amesema kuwa ni mapema sana kufanya mgawanyiko juu ya ligi ifutwe ama iendelee kwani bado wanasubiri...

KUHUSU USAJILI MPYA MSIMBAZI..SENZO EMEFUNGUKA HAYA..!!

0
WAKATI baadhi ya majina ya wachezaji wakihusishwa na Simba, uongozi wa klabu hiyo umesema tayari umepokea mapendekezo ya benchi la ufundi linaloongozwa na Kocha...

MLINDA MLANGO MTIBWA SUGAR AANZA KUPIGA MAZOEZI MEPESI NYUMBANI

0
ABOUTWALIB Mshery, mlinda mlango wa Mtibwa Sugar kwa sasa hali yake inaendelea vizuri baada ya kupata matibabu.Nyota huyo alipata majeraha Februari 15 wakati timu...

MBELGIJI WA YANGA ASHIKILIA HATMA YA TSHISHIMBI

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa hautakubali kumruhusu mchezaji wao yeyote kusepa iwapo Kocha Mkuu, Luc Eymael atahitaji saini yake ikiwa ni pamoja na Papy...

NYOTA POLISI TANZANIA SAINI YAKE YAGEUKA DILI

0
BARAKA Majogoro kiungo wa Polisi Tanzania saini yake imegeuka lulu kutokana na klabu nyingi kuelezwa kuitaka saini yake.Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha Mkuu,...

MO RASHID: MUHIMU KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA

0
MOHAMED Rashid, nyota wa JKT Tanzania anayekipiga kwa mkopo akitokea Simba amesema kuwa kuna umuhimu wa kila mmoja kuchukua tahadhari ya kujilinda dhidi ya...