WACHEZAJI NAMUNGO WAIBUKIA BONGO
WACHEZAJI na Viongozi wa timu ya Namungo FC ya Ruangwa inayotumia Uwanja wa Majaliwa wametimka Ruangwa na kuibukia Bongo ili kumalizia mapumziko ya muda...
SIMBA BALAA, MSHAMBULIAJI WAO MMOJA ATUPIA MABAO KIBAO ZAIDI YA WANNE WA YANGA
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba ameipoteza safu ya ushambuliaji ya Yanga kwa kufunga mabao mengi kuliko washambuliaji wanne wa Yanga kwenye mechi za Ligi...
YANGA YATENGA BILIONI ZA USAJILI, NI NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI, LIPO MTAANI
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la SPOTIXTRA Jumapili, lipo mtaani nafasi ya kushinda ndinga ni yako
KUMBE ABDI BANDA ALIPOTEZA AMANI ALIPOHISIWA ANA CORONA
ABDI Banda, nyota wa Tanzania anayekipinga ndani ya Klabu ya Highlands Parks ya nchini Afrika Kusini na inashiriki Ligi Kuu amesema kuwa aliogopa alipohisiwa...
BIASHARA UNITED WANA HESABU KALI KWELI
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United anaamini kuwa timu yake ina nafasi ya kufanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na mipango...
MZUNGU YANGA AUTEMA UBINGWA WA LIGI KUU BARA JUMLAJUMLA AWAPA SIMBA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauna mpango wa kutwaa Kombe la Ligi Kuu Bara kutokana na kuachwa kwa pointi nyingi na mpinzani...
HAWA HAPA WAMESEPA NA TUZO ZA LIGI KUU BARA 2019/20, WAZUNGU WOTE WA SIMBA...
HAWA wametwaa tuzo za Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 ambapo kwa upande wa Arstica Cioaba amekuwa Kocha Mkuu aliyetwaa tuzo hiyo mara mbili.Kwa...
SABABU YA MBEYA CITY KUWA NAFASI YA 17 HII HAPA
MBEYA City iliyo nafasi ya 17 kwenye msimamo na pointi zake 30 kibindoni ipo chini ya Kocha Mkuu Amri Said.Timu hiyo imetupia jumla ya...
MBELGIJI WA YANGA AOMBA MUDA KUKIJENGA KIKOSI KIWE BORA ZAIDI
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa anaamini akipewa muda atakijenga kikosi cha Yanga na kuwa bora zaidi ya sasa.Kocha huyo amekiongoza kikosi...
MANCHESTER UNITED WAINGIA KWENYE VITA NA BARCELONA,PSG KUISAKA SAINI YA AUBA
MANCHESTER United imeweka mezani pauni milioni 50 ili kuinasa saini ya nyota wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang.Imeelezwa kuwa Auba amekuwa kwenye hesabu ya timu kubwa...