PANGA KUSHUKA YANGA KWA MTINDO HUU

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa kuna mpango mkubwa wa kuwapiga chini wachezaji wake wote ambao hawana mchango mkubwa ndani ya timu.Yanga iliyo...

HIVI NDIVYO HASIRA ZA SIMBA KUFUNGWA NA YANGA ZILIVYOKUTANA NA SINGIDA UNITED UHURU

0
KIKOSI cha Simba jana kimemaliza hasira za kichapo cha bao 1-0 mbele ya Yanga ilichopokea Machi 8 Uwanja wa Taifa kwa kuishushia kichapo Singida...

REKODI ZAIBEBA YANGA LEO TAIFA MBELE YA KMC

0
LEO saa 10:00 Yanga itamenyana na KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Taifa.Yanga itaingia uwanjani ikijiamini baada ya kuvunja rekodi...

ALIYEMPA TABU AISHI MANULA WA SIMBA ATAJA KINACHOMFANYA ACHEKE NA NYAVU

0
NEVERE Tegere, nyota mpya wa Azam FC amesema kuwa sababu kubwa inayomfanya awe anatupia mabao anapopata nafasi ni mazoezi ya mara akwa mara anayoyafanya...

UONGOZI WA SIMBA WATAJA SABABU YA KUCHAPWA BAO 1-0 MBELE YA YANGA

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kichapo mbele ya Yanga kinawaumiza na wana kila sababu ya kukubali kuchapwa kutokana na makosa yao wenyewe.Mara ya mwisho...

ISHU YA KICHAPO CHA SIMBA KWA YANGA IMEISHA MAISHA LAZIMA YAENDELEE, WACHEZAJI JILINDENI UWANJANI

0
MASHABIKI wa Simba kwa sasa wanaumia kwa kile ambacho wamekipata baada ya timu yao kupoteza mbele ya Yanga kwenye mchezo uliochezwa Machi 8, Uwanja...

SAFARI YA TIMU ZA LIGI DARAJA LA KWANZA IPEWE SAPOTI, TIMU ZINA HALI TETE

0
SAFARI ya Ligi Daraja la Kwanza bado inaendelea ambapo kwa sasa timu zimeshaanza kupata picha ya kile ambacho walikuwa wanakifanya kwenye mechi zao za...

SABABU YA KIUNGO WA MUDHATHIR KUPIGWA PINI MIAKA MIWILI HII HAPA

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa sababu kubwa ya kumpa kandarasi nyota wake Mudhathiri Yahya ni pendekezo la Kocha Mkuu Arstica Cioaba ambaye ni...

LIVERPOOL NDO BASI TENA SASA, YAPIGWA ANFIELD JUMLAJUMLA

0
MABINGWA watetezi wa Kombe La Ligi ya Mabingwa Ulaya, Liverpool Jana wamevuliwa ubingwa kwa kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Atletico Madrid.Kichapo hicho wamekipokea...

KUMI KUSAJILIWA YANGA, SIMBA YASHUSHA MVUA YA MABAO NDANI YA SPOTIXTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa UKURASA wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi