VITA YA WABABE HAWA NDANI YA LIGI KUU BARA YASIMAMISHWA KWA MUDA

0
LIGI Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kwa muda wa siku 30 ili kupambana na kusambaa kwa virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia kwa...

WACHEZAJI MSIJISAHAU KUSIMAMA KWA LIGI LAZIMA MLINDE VIPAJI VYENU, TAHADHARI YA CORONA MUHIMU

0
HOFU kubwa kwa sasa imetawala kila kona ya dunia kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Corona ambavyo vilianza kusambaa mwezi Desemba mwaka jana nchini...

KAGERE AKWEA PIPA KUELEKEA RWANDA KWA MAPUMZIKO MAFUPI

0
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba leo amerejea nchini Rwanda kwa ajili ya mapumziko mafupi baada ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kwa muda wa siku...

BREAKING: MUUAJI WA SIMBA AREJESHA MKATABA YANGA, SASA UHAKIKA

0
BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji wa Yanga leo amerejesha mkataba wake kwa mabosi wake ambao ni kampuni ya GSM kupitia kwa Mkurugenzi wa uwekezaji Hersi...

HIKI NDICHO KILICHOMCHELEWESHA MKUDE KUJIUNGA NA KAMBI YA TIMU YA TAIFA STARS

0
JONAS Mkude, nyota wa Simba amesema kuwa sababu kubwa inayomfanya ashindwe kujiunga na timu ya Taifa ni matatizo ya kibinadamu yanayomkabili na siyo suala...

VIWANJA HIVI NI ADUI MKUBWA WA MAENDELEI YA SOKA TANZANIA

0
NA LUC EYMAELNINA uzoefu mkubwa na soka la Afrika kwa kuwa nimefundisha zaidi ya nchi tano na nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana.Ukisikia Kocha Eymael,...

WANAMICHEZO, WASANII VITA YA CORONA INATUHUSU, TUIOKOE JAMII YETU

0
NA SALEH ALLYSERIKALI imefikia uamuzi wa kusimamisha michezo kwa kipindi cha siku 30 kutokana na ugonjwa wa Corona.Ugonjwa huu umeitikisa dunia, karibu kila sehemu...

HAYA HAPA MATOKEO YA KOCHA MKUU WA YANGA, LUC EYMAEL KWA MECHI ZA LIGI...

0
Matokeo ya Luc Eymael baada ya kupewa majukumu ya kuwa Kocha Mkuu mechi za Ligi Bara yapo namna hii:-Januari 15, Yanga 0-3 Kagera Sugar.Januari...

KOCHA NDANDA AHOFIA VIJANA WAKE KUTOKA KWENYE RELI

0
ABDUL Mingange, Kocha Mkuu wa Ndanda FC amesema kuwa kusimamishwa kwa Ligi Kuu Bara kwa muda wa mwezi mmoja kutawatoa wachezaji wake kwenye reli...

POCHETTINO: LAUTARO MARTINEZ NI MSHAMBULIAJI BORA DUNIANI

0
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Tottenham, Mauricio Pochettino amesema kuwa nyota anayekipiga ndani ya Inter Milan, Lautaro Martinez ni miongoni mwa washambuliaji wazuri dunaini kutokana...