KAGERA SUGAR: HATUJAKATA TAMAA KUPOTEZA MBELE YA MBEYA CITY
UONGOZI wa Kagera Sugar umesema kuwa kushindwa kufurukuta mbele ya Mbeya City ni sehemu ya mchezo watajipanga kwa ajili ya mechi zinazofuata.Kagera Sugar, jana...
YANGA YASHUSHA PRESHA KISA SIMBA, SASA KAZI ITAKUWA NAMNA HII
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa siku zilizobaki zinatosha kukiandaa kikosi chake kwa ajili ya mchezo wa Machi 8 dhidi ya Simba...
SIMBA YATAJA SABABU YA KIWANGO CHAO JANA KUPANDA NA KUSHUKA MBELE YA AZAM FC
FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliji wa Simba anayefanya kazi kwa ukaribu na kiungo Jonas Mkude amesema kuwa walicheza kwa kupanda na kushuka kutokana na mpira...
MPANGO MKUBWA WA MTIBWA SUGAR UPO NAMNA HII
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kwa sasa mipango yao ni kuona inamaliza ligi ikiwa ndani ya 10 bora.Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru...
AZAM FC YATAJA KILICHOWAKWAMISHA TAIFA JUMLA MBELE YA SIMBA
AGREY Moriss, nahodha wa Azam FC amesema kuwa walishindwa kupata ushindi mbele ya Simba jana Uwanja wa Taifa kutokana na makosa yao wenyewe.Kwenye mchezo...
SPIDI YA NAMUNGO INASTAHILI PONGEZI LAKINI KAMA KUNA MCHANGANYO WA SIASA ANGUKO LINAKUJA
TIMU ya Namungo inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imekuwa ni moto wa kutokea mbali kwa timu ambazo zimepanda daraja msimu huu.Kocha Mkuu wa timu...
NYOTA SPURS AWAFUATA MASHABIKI NA KUZOZANA NAO
NYOTA wa kikosi cha Tottenham Spurs, Eric Dier, usiku wa kumkia leo aliwafuata mashabiki na kuzozana nao baada ya timu yake kutolewa kwenye mchezo...
AZAM FC YAKWAMA KUFUTA UTEJA KWA SIMBA, SASA NGUVU ZA SIMBA KWA YANGA
AZAM FC jana imeshindwa kufuta uteja wake wa msimu wa 2019/20 mbele ya Simba kwa kukubali kichapo cha mabao 3-2 Uwanja wa Taifa.Kwenye mchezo...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamis upo namna hii
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa upo namna hii baada ya mechi za jana kuchezwa