ALLIANCE WATAJA KILICHOWAPONZA WAKACHAPWA MABAO 2-0 MBELE YA YANGA
GEOFREY Luseke, beki wa timu ya Alliance amesema kuwa hawakustahili kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wapinzani wao Yanga.Jana, Februari 29, Alliance ya...
RUVU SHOOTING WAMPAPASA BOSI WAO WA ZAMANI, CHUMA APELEKWA HOSPITALI
RUVU Shooting jana, Februari 29, 2020 iliipapasa mabao 2-0 Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mabatini, Pwani.Kwenye mchezo huo...
LEO SAMATTA KUKIWASHA TENA, USO KWA USO NA MSHIKAJI WAKE GUARDIOLA
LEO Mbwana Samatta, mshambuliaji anayekipiga timu ya Aston Villa atakuwa na kazi ya kukipiga mbele ya Manchester City kwenye mchezo wa Kombe la Carabao.Mchezo...
SIMCHIMBA AIOKOA AZAM FC USIKU MIKONONI MWA JKT TANZANIA
ANDREW Simchimba, mshambuliaji wa Azam FC jana ameiokoa timu yake usiku kuweza kusepa na pointi tatu mbele ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi...
SINGIDA UNITED: TULIPASWA TUIFUNGE MABAO 5-0 POLISI TANZANIA, MAMBO BADO MAGUMU
RAMADHAN Nswanzurimo, Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa jana Februari 29 walipaswa waifunge Polisi Tanzania mabao 5-0 ila bahati haikuwa yao kutokana na...
NCHIMBI AFICHUA ALICHOAMBIWA NA MZUNGU ILI AITUNGUE ALLIANCE
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa Kocha Mkuu Luc Eymael alimwambia kuwa akatumie makosa ya wapinzani ili akaifungie timu yake mabao.Jana, Februari 29,...
WATFORD SIO WATU WAZURI, WATIBUA REKODI ZA LIVERPOOL KIBABE, YAICHAPA 3-0
ISMAILA Sarr alianza kupeleka maumivu kwa wababe Liverpool dakika ya 54 kabla ya kuongeza msumari mwingine dakika ya 60 na kuifanya Watford kuwa timu...
YANGA YAFUTA BUNDI LA SARE, LAICHAPA ALLIANCE MABAO 2-0 UWANJA WA TAIFA
TIMU ya Yanga leo imefuta bundi la sare iliyokuwa ikiwaandama kwa kushinda mbele ya Alliance FC mabao 2-0 mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...
KOSA KUBWA LA MTIBWA SUGAR KUMBE ILIKUWA KUZITUNGUA SIMBA NA YANGA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kosa lao kubwa ilikuwa kuzifunga Simba na Yanga kwenye Kombe la Mapinduzi jambo lililowafanya wakamiwe na timu nyingine...