SIMBA MACHO YOTE KWA KMC, KESHO TAIFA HAPATOSHI

0
MABINGWA watetezi Simba kesho, Machi Mosi watakuwa Uwanja wa Taifa kumenyana na KMC mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na kumbukumbu ya kushinda kwa...

AZAM FC WATIA TIMU MAKAO MAKUU, KESHO KUVAANA NA JKT TANZANIA

0
KIKOSI cha Azam FC leo kimetia timu Dodomayalipo makao makuu ya nchi kwa ajili mchezo wao wa kesho dhidi ya JKT Tanzania.Azam FC kwenye...

KUMEKUCHA, SIMBA KUPOKEA UGENI LEO KUTOKA UJERUMANI UTAKAOWACHEKI WAKIMENYANA NA YANGA

0
JOTO la mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba limeanza kupanda ambapo kwa sasa timu ya Simba leo inatarajia kuwa na...

YANGA KUMALIZANA NA ALLIANCE KESHO TAIFA

0
YANGA kesho wataikaribisha timu ya Alliance FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwaja wa Taifa.Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kuanzia majira ya saa...

NDINGA MPYA KABISA KWA MIA NANE TU AMA JERO, NI RAHISI FANYA HIVI

0
BAHATI nasibu ya Jishindie Gari Mpya iliyoanzishwa na Kampuni ya Global Publishers kupitia magazeti yake ya michezo ya Championi na Spoti Xtra, imezinduliwa rasmi...

DAVID DE GEA KUPIGWA CHINI NDANI YA MANCHESTER UNITED

0
DAVID De Gea mlinda mlango wa Manchester United huenda akauzwa ili kuiongezea timu yake mkwanja wa kufanyia usajili msimu huu.De Gea mwenye miaka 29...

TAIFA STARS KAZINI MACHI 27, WAANGOLA NDIO MAPILATO

0
MACHI 27, timu ya Taifa ya Tanzania itakuwa na kibarua cha kumenyana na timu ya Taifa ya Tunisia utakaochezwa Uwanja wa Stade Olympique de...

MSIMAMO WA LIGI YA WANAWAKE TANZANIA

0
MSIMAMO wa Ligi ya Wanawake Tanzania baada ya kucheza mechi 10 upo namna hii

SIMBA: HAKUNA MUDA WA KUPUMZIKA, KAZI JUU YA KAZI

0
GADIEL Michael, beki wa Simba amesema kuwa kwa sasa mapambano lazima yaendelee kwani hakuna muda wa kupumzika kwenye maisha ya soka.Michael alipewa nafasi ya...