YANGA V SIMBA, HUYU ANASHIIKILIA REKODI YA KUWATUNGUA WAPINZANI WAO MACHI 8, KESHO SWALI...
KESHO Machi 8 2020, Uwanja wa Taifa,Simba itakuwa ugenini ikicheza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga.Simba ipo chini ya Mbelgiji Sven...
JINA LA KIPA NAMBA MOJA YANGA ATAKAYEOKOA MICHOMO YA KAGERE LIMEVUJA
IMEELEZWA kuwa kuna nafasi kubwa ya nyota wa Yanga Farouk Shikalo kukaa langoni kwa mara ya pili kuokoa micho ya washambuliaji wa Simba wakiongozwa...
AHADI ZA FEDHA KWA WACHEZAJI YANGA VS SIMBA NI KUONYESHA TUMEPITWA NA WAKATI
NA SALEH ALLYWAPENDA soka lazima watakwenda Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakiwa na mambo mengi kichwani tayari kuishuhudia mechi ya watani wa...
MECHI TANO ZA MWISHO, ZINAIAMUA DABI YA KARIAKOO NAMNA HII
Na Saleh AllyGUMZO la Dabi ya Kariakoo limerejea tena, kila mmoja anajua anachokiamini na anazungumza anachoona ndio sahihi.Nani atashinda? Ni suala lenye maswali mengi...
JOKATE AWAITA MASHABIKI WA YANGA TAIFA WAKAIMALIZE SIMBA
Na Mwandishi wetuMMOJA wa wapenzi maarufu wa Yanga,Ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegello, amewataka wenzake wapenzi wa timu hiyo kujitokeza...
GEITA GOLD WAPANIA KUSHIRIKI LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Geita Gold, inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza umesema kuwa mipango yao ni kuona wanatimiza malengo yao ya kupanda Ligi Kuu Bara msimu...
KOCHA AMBEBESHA ZIGO LA LAWAMA KIPA LIPULI, KISA KUFUNGWA MABAO MATATU
KOCHA Mkuu wa Lipuli FC, Nzeyimana Mailo amesema kuwa sababu kubwa ya sare ya kufungana mabao 3-3 na Ndanda FC imechangiwa na mlinda mlango...
AZAM FC V ALLIANCE NI VITA YA KISASI KESHO
KIKOSI cha Azam FC, kesho, Machi 7, kitakuwa Uwanja wa Taifa kumenyana na Alliance ya Mwanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.Azam FC itashuka...
RAIS CAF KUTUA BONGO KUISHUHUDIA YANGA NA SIMBA LIVE
AHMAD Ahmad, Rais wa Shirikisho la Soka Afrika, (Caf) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa watani wa jadi Yanga na Simba utakaochezwa Machi...
HESABU ZA MTIBWA SUGAR ZIPO NAMNA HII
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa bado wanapambana kurejesha makali ya kikosi chake katika Ligi Kuu Bara.Mtibwa Sugar imekuwa na mwendo...