MBELGIJI WA YANGA AWAVAA WACHEZAJI WAKE KISA KICHAPO CHA MABAO 3-0 MBELE YA KAGERA...

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake walipoteza nafasi nyingi za wazi jambo lililowafanya wakakubali kichapo cha mabao 3-0 mbele ya...

AZAM FC YAJIONGEZEA NGUVU ZA KUIFUATA YANGA

0
IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa ushindi waliopata mbele ya Lipuli ni nguvu kwao kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga...

SVEN WA SIMBA KWENYE MTIHANI MWINGINE LEO MBELE YA MBAO FC,

0
SVEN Vanderbroek, Kocha Mkuu wa Simba leo ana kazi mbele ya Mbao FC kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba.Sven anaingia kibaruani akiwa na...

KAZI IMEISHA SASA TUKUTANE UWANJANI, MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTIXTRA, ALHAMISI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi, leo Januari 16, lipo mezani

MATA AWAONGEZEA KASI MANCHESTER UNITED KUELEKEA MCHEZO WAO DHIDI YA LIVERPOOL

0
JUAN Mata aliwaamsha mashabiki wa Manchester United dakika ya 67 kwa kufunga bao pekee la ushindi mbele ya Wolves kwenye mchezo wa FA raundi...

KAGERA SUGAR: HAKUNA TIMU NINAYOIGOPA, NIKIFUNGWA NAFUNGWA KWELI, NIKIFUNGA NAFUNGA

0
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa kilichompa ushindi mbele ya Yanga ni kujiamini na kuiruhusu timu yake icheze bila hofu.Maxime aliingoza...

MBABE WA YANGA AREJEA SIMBA

0
Uongozi wa klabu ya Simba umeamua kumrejesha winga wake wa zamani Shiza Kichuya.Mchezaji huyo alikuwa sehemu ya kikosi cha kikosi cha wekundu hao wa...

TSHISHIMBI AONDOKA YANGA

0
Inaelezwa kuwa kuwa kiungo wa Yanga, Mkongomani, Papy Tshishimbi ametimkia  kwao Congo kuangalia familia yake.Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Luc Eymael, alisema Papy...

KAGERA SUGAR YAMUIBUA HAJI MANARA KWA FUJO, ATOA TAMKO ZITO JUU YA YANGA

0
Baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara jana, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara,...

SERIKALI YAHOJI KUHUSIANA NA BILIONI NNE ZA MO DEWJI

0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye ni shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba, amehoji juu ya matumizi ya Sh. bilioni 4...