MTIBWA SUGAR YAPATA PAKUTOKEA LEO

0
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa leo utapambana kupata matokeo mbele ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Jamhuri,...

SIMBA YATAJA SABABU YA KUSHINDWA KUFUNGA MABAO MENGI MBELE YA KAGERA SUGAR

0
NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema kuwa wapinzani wao Kagera Sugar walicheza kwa kiwango bora jambo lililowafanya washindwe kuwafunga mabao mengi kutokana na nafasi...

UONGOZI WA YANGA WATAJA WALICHOJIFUNZA KWENYE SARE ZAO TATU MFULULIZO

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa matokeo ya sare mfululizo waliyoyapa yamewafumbua macho na kuwafanya watambue kwamba ligi ya msimu huu wa 2019/20 ni ngumu...

KISA KICHAPO MBELE YA SIMBA, KOCHA AWACHANA WACHEZAJI WAKE JUU YA KIWANGO

0
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa wachezaji wake hawakucheza vizuri kwenye mchezo wao wa jana dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa...

KMC YAKWAMA KUENDELEZA USHUJAA MBELE YA NAMUNGO ILIYOFUTA UTEJA WAKE

0
NAMUNGO FC iliyo chini ya Hitimana Thiery jana ilishinda mabao 2-1 dhidi ya KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Majaliwa...

LICHA YA KICHAPO CHA MABAO 2-1 MBELE YA MBEYA CITY, DIDA AWEKA REKODI YAKE

0
MLINDA mlango wa Lipuli ya Iringa, Deogratius Munish 'Dida' anaingia kwenye rekodi ndani ya msimu wa 2019/20 kuwa mlinda mlango wa kwanza kupachika bao...

POLISI TANZANIA YAKATAA SARE YAKE DHIDI YA YANGA

0
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania amesema kuwa hakustahii sare kwenye mchezo wake wa jana dhidi ya Yanga kutokana na kiwango walichoonyesha wachezaji...

HUU HAPA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA

0
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii

MUONEKANO WA UKURAAA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, lipo mtaani, jipatie nakala yako

KAGERA SUGAR YATAJA KILICHOWAKWAMISHA MBELE YA SIMBA

0
JUMA Nyosso, nahodha wa Kagera Sugar amesema kuwa wapinzani wao Simba walitumia kosa moja walilofanya kuwaadhibu kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...