MEDDIE KAGERE AMTAJA ANAYEMUONGOZA KATIKA NJIA ZAKE
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kwenye kila jambo ambalo analifanya haachi kumuomba Mungu ili amuongoze kwani yeye ndiye kila kitu.Kagere ni kinara...
CHEKI MOTO WA KIKOSI BORA CHA WIKI CHA SIMBA NA YANGA
CHEKI namna mchambuzi na mwandishi wa michezo Saleh Jembe alivyokuja na kikosi bora cha wiki cha Simba na Yanga namna hii:-
AZAM WATINGA KWA MKUU WA MKOA WA LINDI
Timu ya Azam FC leo Februari 19, imekwenda kujitambulisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Godfrey Zambi.Msafara wa Azam FC kwenda kwa Zambi,...
MCHEZO MZIMA WA SIMBA NA KAGERA SUGAR ULIKUWA NAMNA HII
SIMBA jana uwanja wa Taifa walitoa burudani mbele ya mashabiki wake licha ya kushinda bao 1-0 mbele ya Kagera Sugar.Kagera Sugar ilicheza kwa kujilinda...
PRISONS DAKIKA 990 YAKUSANYA POINTI 11, SIMBA,YANGA, AZAM WANAUJUA MOTO WAO
TANZANIA Prisons iliyo chini ya Adolf Rishard ni balaa kwa upande wa kulazimhsa sare ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2019/20.Imefunga jumla...
HII HAPA RATIBA YA MECHI ZA YANGA
BAADA ya jana kulaizmisha sare ya kufungana bao 1-1 mbele ya Polisi Tanzania, mambo bado ni moto ndani ya yanga na hii hapa ni...
SAUL APELEKA MSIBA LIVERPOOL, KLOPP AWAKARIBISHA ANFIELD
SAUL Niquez nyota wa Atletico Madrid alipachika bao pekee la ushindi mbele ya Liverpool dakika ya nne kwenye hatua ya 16 bora ya mchezo...
HIVI NDIVYO YANGA ILIVYOBANANA NA POLISI TANZANIA USHIRIKA MOSHI JANA
YANGA Jana ikiwa ugenini mbele ya Polisi Tanzania ilikubali sare ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Ushirika...
KAGERE ATAJA KINACHOMBEBA NDANI YA SIMBA
MEDDIE Kagere amesema kuwa kikubwa kinachompa nafasi ya kuendelea kufunga ndani ya kikosi chake cha Simba ni ushirikiano ambao anaupata kutoka kwa wachezaji wenzake.Kagere...
HUYU MWAMBA CIRO NI BALAA NDANI YA SERIA A
CIRO Immobile anayekipiga ndani ya Serie A, Ligi Kuu ya Italia amefunga jumla ya mabao 26 ndani akiwa ni kinara kwa utupiaji kwenye ligi...