VITA YA MANARA NA JERRY MURO YAREJEA TENA
Ile vita ya maneno iliyokuwa ikivuma miaka takribani mine iliyopita kati ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara na Aliyekuwa Afisa Habari wa Yanga,...
BOSI MPYA BODI YA LIGI AJA NA AGIZO ZITO
UONGOZI wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) umemtangaza Almas Kasongo kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu mpya wa Bodi ya Ligi (TPLB) kuchukua nafasi...
WAAMUZI WAJITOA LIGI KUU BARA
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepokea maombi ya waamuzi saba wanaotaka kutopangwa kuchezesha baadhi ya mechi za Ligi Kuu Bara kutokana na presha na...
UNITED WAONGEZEWA MZIGO KUINASA SAINI YA NAHODHA WA MBWANA SAMATTA
MANCHESTER United imeonyesha nia ya dhati ya kuipata saini ya nyota wa Aston Villa, Jack Grealish ili kuongeza nguvu dani ya kikosi hicho kwenye...
KUTANA NA BILIONEA WA MISRI BOSI WA SAMATTA, ANAYEIMILIKI ASTON VILLA
Na Saleh AllyMTANZANIA Mbwana Samatta amefanikiwa kucheza mechi mbili tu katika kikosi cha Aston Villa ya England lakini tayari ni maarufu sana.Samatta amecheza mechi...
POCHETTINO KUIBUKIA MANCHESTER UNITED IWAPO SOLSKJAER ATASHINDWA KUIFIKISHA HAPA
MAURICIO Pochettino, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Spurs anahusishwa kujiunga na Manchester United.United iliyo chini ya Ole Gunnar Solskjaer imekuwa na mwendo wa kusuasua ndani...
YANGA: MBINU ZA EYMAEL ZIMEJIBU, MASHABIKI WANASTAHILI PONGEZI
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa kazi ndo inaanza kwa Yanga baada ya mbinu za Kocha Mkuu, Luc Eymael kujibu kwa sasa...
SAMATTA ATAKA MABAO 14 VILLA
MSHAMBULIAJI mpya wa aston Villa, Mtanzania, Mbwana Samatta amepanga kufunga katika kila mchezo wa Ligi Kuu England ‘Premier League’ kwa lengo la kuisaidia timu...