MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la SPOTIXtra Alhamisi
GREALISH MSHIKAJI WA SAMATTA ANAWINDWA NA MANCHESTER UNITED
JACK Grealish, mchezaji nyota wa timu ya Aston Villa amewekwa kwenye rada za Manchester United pamoja na Leicester City ambao wanahitaji kuipata saini yake.Nyota...
ISHU YA SPORTPESA CUP SASA IMEFIKIA HAPA
IMEELEZWA kuwa michuano mikubwa ya SportPesa Super Cup ipo njiani kurejea tena na safari hii ushindani ukitajwa kuwa mkubwa zaidi ya msimu ulipita.Mdhamini mkuu...
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA LIPULI
Kikosi cha Yanga kitakachocheza mechi ya leo dhidi ya Lipuli FC.
SANE AINGIA ANGA ZA JUVENTUS
TIMU ya Juventus inafikiria kuinasa saini ya winga wa Manchester City, Leroy Sane.Nyota huyi ambaye ni raia wa Ujerumani pia amewekwa kwenye rada za...
MBEYA CITY YAZITAKA POINTI TATU ZA KMC
MBEYA City leo watakuwa na kibarua cha kutafuta pointi tatu mbele ya KMC ambayo nayo inazitafuta pointi tatu kwa udi na uvumba.Kocha Mkuu wa...
NAMUNGO FC MAJALIWA WABISHI KINOMANOMA
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa ni kwenye Uwanja wao wa Majaliwa hakuna kilichofukiwa zaidi ya jitihada za wachezaji kutafuta matokeo.Kwenye...
SASA KICHUYA NDANI YA SIMBA MAMBO SAFI, HATMA YAKE MIKONONI MWA KOCHA
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vanderbroeck ameshikilia hatma ya nyota wake Shiza Kichuya kucheza kwa sasa ndani ya kikosi hicho.Kichuya ambaye ni kiungo mshambuliaji...
MBELGIJI WA YANGA AZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA LIPULI
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kupata ushindi mbele ya Lipuli ya Iringa.Yanga itacheza na Lipuli majira ya...
SINGIDA UNTED: MWISHO WA MAUMIVU YETU UNAKUJA, MASHABIKI SAPOTI MUHIMU
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa leo utapambana kupata ushindi mbele ya Biashara United kwenye mchezo wao utakaochezwa Uwanja wa Karume.Singida United imekuwa na...