YANGA YAKIONA CHA MOTO KAMATI SAA 72
BALAA walilokutana nalo Yanga ni kupigwa faini ya shilingi milioni 2.7 kutoka kwa Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Kamati ya saa 72)...
KOCHA WA NAMUNGO AWAPA TANO WACHEZAJI WAKE LICHA YA KICHAPO, ISHU YA BAO LA...
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa timu ya Namungo amesema kuwa wachezaji wake wamejitahidi kucheza mbele ya Simba licha ya kufungwa mabao 3-2.Namungo iliyo nafasi...
AFC WAHAMISHIA HASIRA ZAO KWA PAMBA
UONGOZI wa timu ya Arusha umesema kuwa makosa waliyofanya kwenye mchezo dhidi ya Gwambina FC hayajatajirudia tena kwenye mechi yao inayofuata dhidi ya Pamba...
MICAH: GUARDIOLA ALIBUGI HAPA MBELE YA MANCHESTER UNITED
MICAH Richard, mchezaji wa zamani wa Manchester City amesema kuwa mfumo alioutumia Kocha Mkuu wa City, Pep Guardiola ulimponza mbele ya Manchester United na...
MTIBWA SUGAR YAZITAKA POINTI TATU ZA AZAM FC
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa leo utapambana kupata pointi tatu mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa UwanjaUhuru.Ofisa Habari...
KUMBE, KOCHA WA SAMATTA ALIJUA UWEZO WAKE UNGEFIKA UKINGONI DAKIKA HIZI, CHEKI ALICHOMWAMBIA
KOCHA Mkuu wa Aston Villa, Dean Smith amesema kuwa alijua kwamba lazima nguvu ya Mbwana Samatta ingefika ukingoni dakika ya 60-65.Samatta ameanza maisha mapya...
SIMBA AAMUA KUFANYA KUFURU YA PESA, HAKAMATIKI KABISA
KAMA ulikuwa unawaza kuna mtu kwenye tasnia ya Bongo Fleva wa kushindana naye mpaka sasa, unajiongopea! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz...
YANGA KUIPELEKA BODI YA LIGI FIFA
Uongozi wa Yanga umesema hawakubaliani na adhabu walizopewa na Bodi ya Ligi kwa wachezaji wao pamoja na klabu hiyo kwa ujumla tayari wameandika barua...
KOBE APEWA TUZO YA HESHIMA
Wakati dunia ikiwa bado katika simanzi nzito ya kuondokewa na nguli kwenye mchezo wa Basketball Kobe Bryant, waandaaji wa Tuzo za Oscar wametoa taarifa...
TAARIFA NYINGINE YA SERIKALI JUU YA MVUA KUBWA
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, Kaskazini na Kanda ya Kati kukumbwa...