BABA SAMATTA AANGUA KILIO – VIDEO
USIKU wa kuamkia juzi uliweza kuweka historia nyingine katika anga la mchezo wa soka Tanzania kufuatia nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana...
RATIBA YA MECHI ZA KIBABE ZIJAZO KWA YANGA HII HAPA – VIDEO
Ratiba ya mechi zijazo za Yanga katika mashindano ya Kombe la FA pamoja na Ligi Kuu Tanzania Bara.
KUMBE KARIA ALIJUA SAMATTA ATATUA EPL – VIDEO
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amempongeza Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kwa kufanikiwa kujiunga na Timu ya...
HUU NDIYO MSHAHARA WA MBWANA SAMATTA ASTON VILLA
Kutua kwa nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta katika kikosi cha Aston Villa, kunaambatana na neema nyingi, ikiwemo mshahara wake kupanda kwa zaidi ya...
ZAHERA AIBUA JINGINE LILILOKUWA LIMEFICHIKA BAINA YAKE NA YANGA
Kocha wa zamani ya klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera ameeleza sababu nyingine iliyopelekea kuachana na timu hiyo kuwa ni ujio wa kocha Charles Boniface...
ISHU YA KUPIGWA FAINI NA BODI YA LIGI, UONGOZI YANGA WAJA NA TAMKO LINGINE...
Uongozi wa klabu ya Yanga umeendelea kusisitiza kuwa unasubiri barua rasmi ya adhabu iliyotolewa na Kamati ya Uendeshaji wa Ligi kufuatia madai ya utovu...
SIMBA NA BARCELONA ZAONGOZA KWA WAFUASI
Mtandao unaojihusisha na masuala ya data na fursa za kimtandao kwa wanamichezo, vilabu na mashirikisho wa 'Result Sports' wenye makao makuu mjini Büdingen nchini...
BAADA YA SAMATTA KUTUAA ENGLAND, MTANZANIA MWINGINE ATUA UFARANSA
Kinda wa Azam FC U-20 na Ngorongoro Heroes, Tepsi Evance Theonasy kutoka Cambiasso Sports amewasili Ufaransa katika Club ya FC Nantes kwa ajili ya...
RASMI, SAMATTA AANZA MAZOEZI ASTON VILLA AKIANDIKA REKODI
Mshambuliaji mpya wa Aston Villa, Mbwana Samatta ameanza rasmi mazoezi na kikosi chake kipya.Samatta ameanza mazoezi na kuandika rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza...