USHINDI WA MBAO WAMPA KIBURI SVEN, AZITOLEA MACHO POINTI TATU ZA ALLIANCE
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ushindi mbele ya Mbao FC umewapa nguvu wachezaji wake kupambana kwenye mechi zao za ligi.Simba kesho...
AZAM FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA YANGA LEO TAIFA
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa leo ataingia uwanjani kwa tahadhari mbele ya Yanga na hesabu zake ikiwa ni kuzipata pointi...
YOUNG AIPA MKONO WA KWAHERI UNITED, SASA NI MWANA INTER MILAN
ALIYEKUWA nahodha wa Manchester United, Ashley Young amekamilisha dili lake la kujiunga na klabu ya Inter Milan.Beki huyo mwenye miaka 34 hakuwa tayari kubaki...
SIMBA SC YACHOTA MILIONI 633, CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi, Januari 18,2020
MBADALA WA ZAHERA AANZA MIKWARA YANGA, ATOA SIKU SABA
KATIKA kipindi cha siku 30 zilizopita Yanga wameitengeneza sura mpya ya kikosi chao baada ya kufanya usajili kabambe kwenye dirisha dogo la usajili. Kwanza...
TSHISHIMBI AYAZUA YANGA
Nahodha na kiungo mkabaji wa Yanga, Mkongomani Papy Tshishimbi, huenda akakutana na msala kutoka kwa kocha mpya wa timu hiyo, Luc Eymael baada ya...
NIYONZIMA APEWA MZIGO YANGA
Akianza kibarua cha kukinoa kikosi cha Yanga, kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Luc Eymael amempa jukumu zito kiungo mchezeshaji fundi Mnyarwanda Haruna Niyonzima...
LUC EYMAEL AANIKA MAPEMA KITAKACHOMUONDOA YANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji ametangaza kwamba ataikimbia Ligi Kuu ya Tanzania Bara mapema kama wapinzani wao anaokutana nao wataendelea...
AUSSEMS AIBUKA TENA, ATOA TAMKO JUU YA SIMBA
KOCHA wa zamani wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa amesikia kelele za mashabiki wa timu hiyo wakishinikiza uongozi umrudishe kufundisha timu hiyo lakini kwa...
KIMENUKA!! GSM YAWABANA VIONGOZI YANGA
Imeelezwa kuwa wadhamini wa Yanga, Kampuni ya GSM imewabana viongozi wa klabu hiyo katika suala zima la utoaji fedha kuhakikisha fedha zote wanakabidhi wenyewe...