HARMONIZE AZIDI KUTIBUA MAMBO WASAFI
DAR ES SALAAM: Zile tetesi za staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ kuwa anataka kusepa kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), zimeendelea...
KIONGOZI SIMBA AIOMBEA SAPOTI YANGA
MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Manara amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuungana na wapinzani wao Yanga katika mechi za kimataifa ambapo Yanga watacheza...
WAWA ASHUSHA PRESHA SIMBA, MASHINE ZAREJEA
PASCAL Wawa, beki wa Simba maarufu kwa jina la Sultan amesema mashabiki wasiwe na presha kuelekea mchezo wa marudiano wa kimataifa dhidi ya UD...
WACHEZAJI WAWILI YANGA WABADILI UKUTA
BEKI wa pembeni wa Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ ana hatihati ya kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers, lakini taarifa ziwafi kie mashabiki...
NYOTA MPYA SIMBA KUTIMKIA UARABUNI
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu, amekiangalia kikosi cha timu yake na kutamka kuwa hawana sababu ya kuukosa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa...
SIMBA YAOMBA SAPOTI KWA YANGA KIMATAIFA
UONGOZI wa Simba umewataka watanzania kuungana kwa sasa kwenye michezo ya Kimataifa bila kujali aina ya timu anayoshabikia.Kwenye michuano ya kimataifa, Yanga itakuwa ugenini...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
MTOTO ALIYEPOTEA SIKU SITA DAR APATIKANA ARUSHA
MTOTO ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi na awali ya Tuwapende, Daniel Evans (12) aliyepotea Agosti 10, 2019, jijini...