NAMNA REKODI ZA KOCHA MPYA YANGA ZINAVYOTISHA – VIDEO
Hivi ndivyo rekodi za Kocha Mkuu mpya wa Yanga, Luc Eymael, zinavyozungumza. Kocha huyu ambaye ni raia wa Ubelgiji ametua Yanga kuchukua nafasi ya...
YANGA YAZOMEWA BANDARINI DAR – VIDEO
Kikosi cha Yanga kimewasili jana jijini Dar es Salaam baada ya kutolewa katika mashindano ya Mapinduzi CUP dhidi ya Mtibwa Sugar.
SIMBA WAMVAA KIPA AZAM FC
Baada ya kuibuka na ushindi wa penati 3-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa nusu fainali ya Mapinduzi CUP, baadhi ya mashabiki wa...
LIVE UPDATES PENALTI: AZAM 2-3 SIMBA
Simba inatinga hatua ya fainali kwa ushindi wa penalti 3-2 walizopata Azam FCPenalti ya tano kwa Azam inapigwa na Abarola,inaokolewaPenalti ya tano kwa Simba...
LIVE UPDATES NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: AZAM FC 0-0 SIMBA
Dakika ya 17 Kapombe,Kagere, anapeleka ndani hakuna mchezaji wa SimbaDakika ya 16 Kapombe anajaza majalo ndani yanatolewa na Wadada inakuwa kona ya tatu kwa...
NONDO 11 ZA AZAM FC HIZI HAPA ZITAKAZOANZA LEO DHIDI YA SIMBA, MAPINDUZI CUP
KIKOSI rasmi cha Azam FC, kinachotarajia kucheza dhidi ya Simba kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi utakaofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar...
JESHI KA SIMBA LEO DHIDI YA AZAM FC, KAKOLANYA NDANI, MANULA BENCHI
Kikosi cha leo dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali ya Mapinduzi Cup leo Januari 10
KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO YA SIMBA CHAFICHULIWA NA MSHAMBULIAJI WAO NAMBA MOJA
MEDDIE Kagere, mshambuliaji namba moja wa Simba amesema kuwa kikubwa kinachowapa mafanikio ni ushirikiano ndani ya timu jambo linalowafanya wapate matokeo mazuri.Kwenye Ligi Kuu...
AZAM FC: SIMBA WETU KABISA TUMEWACHAPA SANA, LEO TUTAPAMBANA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa hauna mashaka na mchezo wa leo dhidi ya Simba kwenye hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi...
POLISI TANZANIA YAWAITA MASHABIKI UWANJA WA USHIRIKA, BUKU TATU TU KUPATA BURUDANI KESHO
UONGOZI wa Polisi Tanzania umewataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi, kesho Januari, 11,2020 kuipa sapoti timu yao mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa...