SIMBA YALAZIMISHA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA

0
BAO la Mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere dakika ya 58 kwenye mchezo wa kirafiki leo dhidi ya Township Rollers lilidumu kwa muda wa dakika...

KIPA STARS ATAMBA KUWAZUIA WASHAMBULIAJI WA KENYA

0
JUMA Kaseja ametamba kuwazuia washambuliaji wa timu ya taifa ya Kenya kwenye mechi ya kufuzu michuano ya CHAN itakayopigwa kesho, Julai 28 Uwanja wa...

KOCHA YANGA AMTAJA MLINDA MLANGO ATAKAYEANZA LANGONI

0
KOCHA wa makipa ndani ya Yanga, Peter Manyika amesema kuwa magolikipa wake wote wapo vizuri kwa ajili ya msimu ujao.Manyika kwa sasa ana makipa...

KOCHA STARS: MAJEMBE YA KAZI YAPO SAWA, AWAPA TANO NYOTA WA SIMBA

0
KESHO timu ya Taifa ya Tanzania 'Tiafa Stars' itakuwa kazini kumenyana na timu ya Kenya na tayari kambi imenoga na leo ni siku ya...

SPURS WAMTAKA NYOTA WA JUVENTUS

0
PAULO Dyabala mshambuliaji wa Juventus amewekewa kwenye hesabu na klabu ya Totthenham ambayo inataka kuipata saini ya nyota huyo raia wa Argentina.Juventus ipo tayari...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi

KABLA LIGI KUU BARA HAIJAANZA, RATIBA YA LIGI KUU BARA KUFANYIWA MABADILIKO

0
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu ujao ikafanyiwa...

NAHODHA MPYA WA YANGA HUYU HAPA, ARITHI KITAMBAA CHA AJIBU

0
PAPPY Tshishimbi, kiungo wa Yanga amekabidhiwa kitambaa cha unahodha ndani ya kikosi hicho kilichoweka kambi mkoani Morogoro.Kiungo huyo amekabidhiwa kitambaa hicho ambacho kilikuwa mikononi...

MASHABIKI WAITWA UWANJA WA TAIFA AGOSTI 28 KUIPA SAPOTI TIMU YA TAIFA

0
CLIFORD Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa ni wakati wa mashabiki kujitokeza kwa wingi Agosti 28 kuipa sapoti timu...

YONDAN ANA BALAA, KAMBI YA SIMBA YAZIDI KUNOGA NI KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
KESHO CHAMPIONI Jumamosi limesheheni habari kamili kuhusu kambi ya Yanga, Maandalizi ya Timu ya Taifa ya Tanzania bila kusahau kambi ya Simba