PEPE AAMBIWA AMEBUGI KUTUA ARSENAL KWA SASA
CHRISTOPHER Galtier, Meneja wa Lille amesema kuwa ameshangazwa na kitendo cha nyota wa kikosi hicho Nicolas Pepe kujiunga na Arsenal.Meneja huyo amesema kuwa Arsenal...
JESHI LA TAIFA STARS LITAKALOKIPIGA LEO DHIDI YA KENYA KUFUZU CHAN
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kitakachoanza leo dhidi ya Kenya kufunzu Chan.
KIKOSI CHA TANZANITE KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA ESWATINI, COSAFA
KIKOSI cha Tanzanite kitakachoanza leo dhidi ya Eswatini COSAFA
SIMBA YAZIDI KUPAMBA MOTO, LEO WACHEZAJI KUPIGA PICHA NA MASHABIKI
WACHEZAJI wa Simba leo watapiga picha na mashabiki wao ambao wamenunua tikite za Platinum Plus pamoja na zile za Platinum katika hotel ya Serena.Zoezi...
ASHLEY YOUNG APEWA KITAMBAA CHA UNAHODHA UNITED
OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United amechagua jina la Ashley Young mwenye umri wa miaka 34 kuwa nahodha wa kikosi hicho.Beki huyo alikuwa...
WAYNE ROONEY AITAKA MIKOBA YA OLE GUNARR NDANI YA MANCHESTER UNITED
WAYNE Rooney, nyota wa zamani wa Manchester United amesema kuwa malengo yake makubwa ni kuja kuwa Kocha wa kikosi cha United atakapostaafu Soka.United Kwa...
YANGA WAZIDI KUMIMINIKA TAIFA, HILO NYOMI KAMA LOTE LEO
MASHABIKI wa Yanga wanazidi kujitokeza kwa wingi leo uwanja wa Taifa kwa ajili ya kushuhudia burudani maalumu.Leo Yanga inahitimisha rasmi wiki ya Mwananchi ambapo...
BEKI KISIKI WA SIMBA KUTIMKIA MOROCCO
INAELEZWA kuwa beki wa timu ya Simba, Juuko Murshid yupo mbioni kujiunga na klabu ya Wydad Casablanca kwa kandarasi ya miaka miwili.Nyota huyo anayekipiga...
NDAYIRAGIJE ABEBA MATUMAINI YA WATANZANIA, APANIA KUFANYA MAAJABU MBELE YA KENYA
ETTIENE Ndayiragije, Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania,amesema katika mchezo wa leo wa marudiano kufuzu fainali za Afrika kwa wachezaji wa...
SAMATTA AFUNGUA AKAUNTI MPYA YA MABAO UBELGIJI
LICHA ya timu yake kupoteza kwa kufungwa mabao 3-1 na timu ya Kv Muchelen bado Mbwana Samatta alicheka na nyavu.Samatta alipachika bao la kufuta...