MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
SAMATTA AITAKA TIMU HII LIGI KUU ENGLAND
Baba mzazi wa mshambuliaji, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta amefichua kuwa hakushangazwa na hatua ya Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) kuipanga Genk anayochezea mtoto...
BOSS ALLIANCE: NI KWELI KUNA WACHEZAJI TUNAWACHAPA VIBOKO – VIDEO
Ni katika toleo la Championi juzi Ijumaa tuliona namna ambavyo makocha mbalimbali ambao wamewahi kuifundisha timu ya Alliance walivyokuwa wakilalamika kuingiliwa katika kazi yao...
BILO AFUNGUKA MADUDU YANAYOFANYWA NA BOSS ALIANCE, KUMBE SUB ILIMFUKUZISHA KAZI BHANA
Na George MgangaAliyekuwa Kocha Mkuu wa Alliance Shools ya Mwanza, Athuman Bilali Bilo, amesema kuwa alifukuzwa kwa sababu ya kuingiliwa majukumu yake kwenye benchi...
LWANDAMINA AWACHOKOZA YANGA
Kocha wa zamani wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina amefunguka kuwa anakuja Tanzania kwa kazi moja tu ya kuhakikisha anaifunga timu hiyo katika mchezo wa...
MANCHESTER UNITED HAWANA BAHATI, LICHA YA KUTANGULIA KUFUNGA WAAMBULIA POINTI MOJA
LICHA ya kutangulia kufunga bao dakika ya 10 leo mbele ya Southampton kupitia kwa Daniel James bado wamekwama kusepa na pointi tatu muhimu.Dakika ya...
AHUKUMIWA KUSAFISHA HOSPITALI MIEZI 12 KWA KUMUUA MKEWE
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imemuhukumu mkazi wa Kijiji cha Luyaya Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi, Atanasi Kijombo, adhabu ya kufanya usafi...
STARS: TUPO TAYARI KUIMALIZA BURUNDI
Kocha msaidizi wa Taifa Stars, Seleman Matola amesema kuwa ana imani kikosi kitakwenda kufanya kweli kwenye mchezo wao wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi...
WAKENYA WATUMIKA KUIUA ZESCO
Kabla ya kucheza na Zesco, Yanga imepanga kucheza michezo miwili ya kirafiki ukiwemo mmoja wa kimataifa kutoka moja ya klabu nchini Kenya.Yanga inatarajiwa kucheza...
SARRI NA JUVENTUS VULULUVULULU KISA KUVUTA SIGARA
KLABU ya Juventus imekasirishwa na maamuzi ya Kocha wao, Maurizio Sarri kukataa kuacha kuvuta sigara licha ya kusumbuliwa na ugonjwa wa mapafu.Sarri mwenye umri...