TAZAMA MASHABIKI YANGA WALIVYOSHEREHEKEA KUFUATIA SIMBA KUTUPWA NJE CAF – VIDEO
Mashabiki Yanga wakisherehekea kufuatia watani zao wa jadi Yanga kutupwa nje kunako mashindano ya CAF Champions League.
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO, BALINYA AOGELEA NOTI
Ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Jumatatu
HIKI NDICHO KILICHO NYUMA YA USHINDI WA AZAM MBELE YA WAETHIOPIA, BAADA YA KICHAPO...
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa ushindi wao umebebwa na nguvu ya mashabiki ambao walijitokeza jana uwanja wa Chamazi.Azam FC jana ilipindua meza kibabe...
TAMKO LA HAJI MANARA BAADA YA SIMBA KUTUPWA NJE CAF
Kauli ya Ofisa Habari wa Simba Haji manara baada ya kuondolewa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika leo na UD Songo.
SIMBA YAPIGWA KIDUDE KIMOJA CHA NYUMBANI, NJE KIMATAIFA KUISHABIKIA YANGA NA AZAM FC
RASMI leo Simba imetolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye mchezo wa marudio uliochezwa uwanja wa Taifa.Simba inatolewa na UD Songo kwa...
LIVE: SIMBA 0-1 UD do SONGO
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa kwa sasa hatua ya awali ukiwa ni wa marudo uwanja wa Taifa ni kati ya Simba na UD do...
PUKKI; CHUI MPYA ATAKAYESUMBUA PORI LA PREMIER LEAGUE
Na Saleh AllyBAADA ya timu kuwa zimecheza mechi mbilimbili tu, tayari kuna mshambuliaji ameshafunga mabao manne, ukiwa ni wastani wa mabao mawili kila mechi.Wastani...