ZAHERA BALAA AFUNGA USAJILI NA KIFAA HIKI, HATMA YA OKWI NDANI YA SIMBA NI...
BALAA la Zahera ndani ya Yanga na ishu ya Emmanuel Okwi ndani ya Simba habari kamili ni kesho ndani ya CHAMPIONI Jumatano.
TFF: KESHO TUNAFUNGA JUMLA ZOEZI LA USAJILI
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa kesho ndio mwisho wa usajili kwa wachezaji wa ndani.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa TFF, Clifford...
PATRICE EVRA, NYOTA WA ZAMANI WA MANCHESTER UNITED ATUNDIKA DALUGA
Beki wa kushoto wa Manchester United na Ufaransa Patrice Evra ametangaza rasmi kustaafu soka la ushindani..Beki huyo mwenye miaka 38 aliichezea Ufaransa jumla ya...
NAHODHA STARS: WALILAZIMISHA SARE KWETU NASI TUNAKWENDA KUSHINDA KWAO
JUMA Kaseja, nahodha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa nafasi ya kushinda kwa timu nchini Kenya ipo kikubwa ni sapoti kutoka...
NYOTA WA SIMBA NA YANGA AJIUNGA NA TIMU YA PRO LINE
HAMIS Kiiza nyota wa zamani wa klabu zote mbili kubwa zenye maskani yake Kariakoo, Simba na Yanga amejiunga na timu ya Pro Line.Timu hiyo...
ZAHERA WA YANGA KUSHUSHA JEMBE MOJA LA KAZI
MWINYI Zahera Kocha Mkuu wa Yanga, leo ameanza rasmi kukinoa kikosi chake ambacho kimeweka kambi mkoani Morogoro.Zahera amesema kuwa kwa sasa anasubiri nyota wake...
RATIBA YA KUKUSANYA KIJIJI YA YANGA IPO NAMNA HII
TIMU ya Yanga kuelekea siku ya Mwananchi ambayo inatarajiwa kuwa Agosti 4 uwanja wa Taifa ambapo watacheza na mabingwa wa SportPesa Cup Kariobarg Sharks...
SIMBA LEO KUFUNGA HESABU NA ORLANDO PIRATES
KIKOSI cha Simba leo kinacheza mchezo wake wa mwisho wa kirafiki wa kufunga hesabu dhidi ya Orlando Pirates nchini Afrika Kusini.Mchezo huo ambao ni...
SADNEY AKIWASHA YANGA IKIMPIGA MTU BAO 2-0, MORO
Sadney Urknob leo amekiwasha kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Friends Ranger uliochezwa uwanja wa Highland Park kwa kufunga moja ya bao kwenye ushindi...
SABABU ZA SIMBA KUREJEA KESHO HIZI HAPA
CRESCENTIUS Magori, Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba amesema kuwa jeshi kamili la Simba linatarajiwa kurejea kesho kutoka Afrika Kusini kwa ajili ya...