NYOTA MPYA WA MTIBWA AANZA NA MAKEKE YAKUTOSHA
BAO la usiku lililofungwa na nyota mpya wa Mtibwa Sugar, Abdulharim Humud jana limeweka usawa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Aigle Noir FC.Mchezo...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
ISHU YA MDHAMINI MKUU WALIGI KUU BARA IMEFIKA HAPA
WALLACE Karia, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania amesema kuwa kwa sasa bado wanaendelea kuzungumza na mdhamini mkuu ili kukamilisha utaratibu wa kufanya naye...
MBEYA CITY: TUNAMALIZIA SUALA LA USAJILI
JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa kwa sasa wanakamilisha utaratibu wa mwisho kusajili wachezaji wapya kabla ya dirisha la usjili kufungwa.Mwambusi...
AZAM FC YAWAITA MASHABIKI KUIPASAPOTI KIMATAIFA
BAADA ya Caf kutoa ratiba ya awali ya michuano ya Afrika, uongozi wa Azam FC umewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi kuwapa sapoti.Akizungumza na Saleh...
KMC USOKWAUSO NA HARUNA NIYONZIMA WA SIMBA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa hawana hofu na timu ya AS Kigali ambayo nyota wa zamani wa Simba Haruna Niyonzima amesajiliwa msimu huu.KMC itamenyana...
NYOTA SABA KUJIUNGA LEO NA TIMU YA TAIFA, MMOJA TAARIFA ZAKE HAZIFAHAMIKI
KOCHA msaidizi wa timuya Taifa, Juma Mgunda amesema kuwa leo wachezaji saba waliokuwa nchini Afrika Kusini watajiunga na Timu ya Taifa kufanya mazoezi ya...
RUVU SHOOTING: TUNAKIWASHA KWA KASI MSIMU UJAO
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa msimu ujao utapambana kupata matokeo chanya kwenye ligi tofauti na msimu uliopita.Ruvu Shooting imeweka kambi mkoani Pwani na...
NYOTA STARS AENGULIWA MOJAKWAMOJA KAMBINI
MUDHATHIR Yahya sasa hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu ya Taifa kutokana na kusumbuliwa na tatizo la kifundo cha mguu.Timu ya Taifa ya Tanzania...