LIGI YA MSIMU UJAO UKIVAA TU HOVYO UNATIMULIWA NJE YA UWANJA
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPBL) imesema imebadilisha baadhi ya mfumo wa uendeshaji wa masuala mbalimbali ikiwemo suala la mavazi ya makocha. Mtendaji...
WAPINZANI WA YANGA WAINGIWA NA MCHCHETO MKUBWA
Shoo ya Yanga na Township Rollers kwenye mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika itapigwa jijini hapa Jumamosi saa 10:30 jioni lakini jamaa...
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO IJUMAA
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO IJUMAA
TSHISHIMBI ATOA TAKO YANGA
NAHODHA wa Yanga, Mkongo Papy Kabamba amejipanga kushinda dhidi ya Township Rollers na akasisitiza wanahitaji kupata mabao ya mapema zaidi kwenye mchezo huo ili...
HARMONIZE AWEKA REKODI KUBWA AFRIKA
DAR ES SALAAM: Mambo yamemyookea! Ndiyo lugha rahisi unayoweza kutumia kuwasilisha mafanikio ya haraka anayoendelea kuyapata, staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’.KISHINDO...
TFF YA BOTSWANA YAIRAHISHIA KAZI YANGA
WAKIJIANDAA na mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers, Yanga wamepewa uwanja wa kufanyia mazoezi na Shirikisho la Soka la Botswana.Hiyo ni siku moja...
DEMBELE AIHARIBU BARCELONA
WINGA wa Barcelona, Ousmane Dembele ameanza vitimbi baada ya majuzi kudaiwa kwenda zake nchini Senegal kwa shughuli ya kifamilia. Dembele alidaiwa kuwa aliwaficha madaktari...
POFBA APIGWA STOP MAN UNITED
KITENDO cha Paul Pogba kukosa penalti kwenye mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Wolverhampton Wanderers Jumatatu iliyopita, kimezua mtafuruku kiasi cha kocha wa...
YANGA MAMBO SAFI HUKO BOTSWANA, SHIBOUB APATA DAWA DAWA YA DO SONGO, KESHO NDANI...
KESHO ndani ya Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa, mambo yatakuwa
AZAM FC KAMILI GADO KUWAVAA WAETHIOPIA
SHAABAN Chilunda, mshambuliaji wa Azam FC amesema yupo tayari kwa mchezo wa marudiano wa kimataifa dhidi ya Fasil Kenema utakaochezwa Jumamosi, uwanja wa Chamazi.Chilunda...