ODDS ZA USHINDI KWENYE USIKU WA ULAYA LEO ZIMELALA KWENYE TIMU HIZI HAPA…
Jumanne ni maalumu kwa matukio makubwa hasa kwenye mpira kwani ni siku ambayo timu kubwa Ulaya zinapambana kuwania Kombe lenye pesa nyingi kwenye ngazi...
KUMWEMBE AMVAA MAYELE …AMPA MAKAVU LIVE…”UNATAKA KUONEKANA MFALME
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliaji wa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri...
PACOME AONEKANA MAZOEZINI YANGA…DAKTARI AZUNGUMZIA MAJERAHA A-Z
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kwa mara ya kwanza ameonekana akiwa mazoezini baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda, lakini daktari amesema...
MAAMUZI MAGUMU SIMBA YAWE NI PAMOJA NA KUMPIGA CHINI INONGA…
Katika yale maamuzi magumu ambayo viongozi Klabu ya Simba wanapaswa kuyafanya wakati huu bila kufikiria mara mbili mbili ni pamoja na kumuuza Henock Inonga.
Body...
IPE UZITO SLOT YA 40 LUCKY SEVEN ILI KUSHINDA ‘MPUNGA’ KWA KILA HATUA NDANI...
Iringa na Tanga Lushoto husifika kwa uzalishaji wa mtaunda kwa wingi hapa Tanznaia, je umewahi kujiuliza ni kwa kiasi gani kilimo cha matunda na...
AHMED ALLY:- HATA TUKICHEZA NA TIMU NDOGO LAZIMA TUFUNGWE…MAKOSA YANAJIRUDIA..AMEFUNGUKA HAYA
Meneja wa Habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuacha makasiriko na badala yake waungane Pamoja kuisaidie timu...
KUMBE STAA HUYU YANGA..ALIKUWA ANALIPWA LAKI SITA TU…APANDISHIWA HADI 12M
Kwa kipindi cha hivi karibuni Ligi yetu imekuwa na ubora mkubwa hasa baada ya klabu mbili za Simba na Yanga kuanza kufanya vizuri kwenye...
BOSI YANGA AWAGEUKIA MASHABIKI…”HUWEZI KUSEMA TUMESHINDA…VIONGOZI WA MATAWI KIKAANGONI
Mechi dhidi ya Simba Jumamosi ni fainali ya ubingwa wao kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Rodgers Gumbo.
Amesisitiza kwamba kama...
KUMBE SIMBA YAONDOKA DAR…YAELEKEA KULEKULE…YANGA WAJIANDAE
Kikosi cha Simba, chini ya Kocha Abdelhak Benchikha kinatarajia kuondoka leo kwenda Zanzibar kwa ajili ya kambi ya siku tatu kujiandaa na mchezo wa...
SHABIKI SIMBA:- HATUWEZI KUIFUNGA YANGA…TUNAKWENDA KUDHALILIKA…TUTAKULA KIPIGO KIZITO
Shabiki kindakindaki wa Klabu ya Simba, Mzee Mchachu amesema kuwa hatokwenda kwenye mchezo wa dabi dhidi ya watani zao Yanga Sc kwani anaamini kabisa...